concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
TRC inabidi waongeze frequency sasa au wa launch ile treni ya gorofa inabeba passengers wengi mara moja.
View: https://www.facebook.com/share/p/19N25ha4QM/
Hata ule ule muda walioweka abiria wengi wanaahirisha .
Mfano kutoka dom kwa mtu anayekaa mbali kama ihumwa inabid either asubiri treni ya saa nane au jion, sasa kuliko kusubiri Bora kupanda basi la asubuhi walau utafika saa nane au tisa huko