Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Famya research kwanza kabla ya kujiabisha humu

View attachment 662023


Aibu ni yenu! No doubt its foreign owned but why then is Bata not having a factory in Tz? Despite it being foreign owned,it has operated the Limuru factory in Kenya since 1939! It sources all materials and expertise in Kenya for its local production and exports shoes customized for Africa. Bongo lalas will always miss the point!

62a3d246ca410aa84dadca7070eae51a--bata-british-colonial.jpg
 
Wewe undhani wanaowaletea chakula na diamond Karanga ni akina nani kama sio Bashite? Huyu bashite anazingua. Dar es salaam bado ni chafu na miundo mbinu dhaifu. Nilitegemea awe creative asimamie usafi wa jiji na miundombinu yake. Lakini yeye anataka vitu vinavyompa mileage za kisiasa.
Ajitafakari. Hahitaji TV kufanya tathmini ya utendaji wake. Sisi wananchi tutamtathimini kwa matokeo ya juhudi zake.
 
Kwamba Bata is a Kenyan company au? Mpumbavu sana wewe nani asiyejua Bata ni ya Canada?

Pumbavu na bongo lala ni wewe na ukoo wenu wote! Nani kasema Bata is Kenyan owned!? Nevertheless,it has opted to manufacture in Kenya since 1939. Ask why not in Bongolala-land!
 
Aibu ni yenu! No doubt its foreign owned but why then is Bata not having a factory in Tz? Despite it being foreign owned,it has operated the Limuru factory in Kenya since 1939! It sources all materials and expertise in Kenya for its local production and exports shoes customized for Africa. Bongo lalas will always miss the point!

62a3d246ca410aa84dadca7070eae51a--bata-british-colonial.jpg
Kwahiyo kila kilichopo Kenya lazima kiwepo Tanzania?, mbona ukabila na slums zipo Kenya lakini hamtaki kutuletea huku Tanzania?
 
Iyo big deal at a kwangu.....yeye..anaeza let's uhasama kati ya Kenya na tz
Mbona tulishatoa msimamo wetu, you are not our friends, Kenya ni majirani zetu lakini sio marafiki zetu, kwanini hamtaki kuelewa mnalazimisha friendship sisi hatutakiiii..tunataka uhasama na ninyi..this is last time to tell you this
 
oops!..kumbe hizo takataka zinatengenezwa hapo Kenya?...ndio maana zina muonekano mbaya kama sura za wakenya .

NB:
viatu vya ma-caretaker wakikuyu..vile caretaker njoroge akija kwa keja kukumbushia rent ya next month.

8c8fa3e125c044f90ade33a46bd23036.jpg



There is no other iconic shoe in the world like Bata's Safari boot! Custom made to suit African terrain with a Safari themed design,you must be blind to associate it merely with your cheap inferiority complex. Akina Njoroge and all other Kenyans who adore Safari boots have the same taste just as the global pool of satisfied users including most of Tz Safari Tour operators!

images



a74625a8d4bc13562361970fcf40b042--bata-my-fashion.jpg


ea29e95a075097ca109a834a98c58dc2.jpg


CzsytKgW8AEOXLU.jpg:large
 
Back
Top Bottom