mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Divyo mlivyo wa.tz kama nyieAkili ako imejitune kwa wanyama tayar et senge kaona mbuz y usisema kaona kahaba au changudoa bt wazo la kwanza kwako imekuja mbuz kwel nyie hamnazooo
Divyo mlivyo wa.tz kama nyieAkili ako imejitune kwa wanyama tayar et senge kaona mbuz y usisema kaona kahaba au changudoa bt wazo la kwanza kwako imekuja mbuz kwel nyie hamnazooo
Dream housessome of houses in msa![]()
uhasama gani kma makamu wa raisi alikujaIyo big deal at a kwangu.....yeye..anaeza let's uhasama kati ya Kenya na tz
Uko msa..huwa naona magari za tz.....na wanafunzi wakiwa beach kwani uko tz hana beach
Mkuu. Wanafuata matibabu Ya uhakika na kwa gharama nafuu, Kumbuka KCMC ni hospitali ya Rufaa yenye Miundombinu dhabiti na madaktari bingwa wengi wa kila namna kama vile Maskio, Pua na Koo (E.N.T), Physicians, Madaktari bingwa wa Mifupa, Moyo, Njia ya Chakula, Ngozi, Watoto, Kima mama n.kNa huku Moshi naona magari ya wa Kenya na wa Kenya kibao wanakuja hapa KCMC kupata huduma za matibabu ..vip hamna hospitals ?
Na huku Moshi naona magari ya wa Kenya na wa Kenya kibao wanakuja hapa KCMC kupata huduma za matibabu ..vip hamna hospitals ?
Tundu lisu ako wapi?Na huku Moshi naona magari ya wa Kenya na wa Kenya kibao wanakuja hapa KCMC kupata huduma za matibabu ..vip hamna hospitals ?
Ngoja wafike kwa Wi-Fi za bure taoo uone mapovu yatavyomwagika leooojamani ndugu zangu wa tz na Kenya mkipata time click hii link naona ubishani wa kikenya ni wakuda tu jibu hilo hapo
Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)
alietoa hii ni nrwanda na amecompare transport system na Brussels ko click hapo Wakenya naruhusu povu
Poa bro na karibu sana Kenya. Wafahamishe na wenzako pia kwamba wakihitaji matibabu mema na yenye nafuu, wasisite kuja Kenya. Huku hatuhitaji passport wala visa.tunashukuru sana kenya kwa kumuweka tundu lissu wetu salama
ok pamoja sanaPoa bro na karibu sana Kenya. Wafahamishe na wenzako pia kwamba walihitaji matibabu mema na yenye nafuu, wasisite kuja Kenya. Huku hatuhitaji passport wala visa.
Poa bro na karibu sana Kenya. Wafahamishe na wenzako pia kwamba walihitaji matibabu mema na yenye nafuu, wasisite kuja Kenya. Huku hatuhitaji passport wala visa.
Shukran!ok pamoja sana
Mshamba tu huyoDon't forget to click this link please Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)
sio mshamba kaongea facts tatizo lenu ukweli hamuupendi mumezoea uongo😀😀😀😀😀Mshamba tu huyo
Yes,mkuu,TZ ni nchi ya watu wenye ukarimu na utu,here is evidence.Mkuu. Wanafuata matibabu Ya uhakika na kwa gharama nafuu, Kumbuka KCMC ni hospitali ya Rufaa yenye Miundombinu dhabiti na madaktari bingwa wengi wa kila namna kama vile Maskio, Pua na Koo (E.N.T), Physicians, Madaktari bingwa wa Mifupa, Moyo, Njia ya Chakula, Ngozi, Watoto, Kima mama n.k
Na Sio hapo tu, Wakenya Wengi wanakuja pia Ocean Road cancer institute na Jakaya Kikwete cardiac Institute kupata matibabu ,
Hii imetokana na juhudi na hatua za makusudi Tanzania imepiga katika sekta ya Afya ukilingamisha na nchi nyingine za Ukanda huu wa Africa mashariki.
Ni matumaini yangu kuwa kukamilika kwa Mloganzila Modern Medical Center na Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital kutakuwa ni Mkombozi kwa Jamii nzima ya Africa Mashariki, hususani Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi.
Pamoja na hayo, pia tumekuwa tukipokea Ndugu zetu toka Zambia na Malawi wakifuata Matibabu.
Halafu kumbuka kazi ya Udaktari ni ya Wito, inahitaji uwe kweli na moyo wa kusaidia,
Watanzania wengi tupo wakarimu na tuna Lugha nzuri kwa wengine, huo ni Utamaduni wetu,
Ndivyo hivyo madaktari wa Tanzania walivyo kwa Hao wagonjwa wa Kenya, (Hapa nadhani madaktari wa Kenya hutumia aggressive language kwa wagonjwa),
Ni rahisi sana mgonjwa kupata faraja kama daktari atazungumza nae kwa Lugha ya Ukarimu, hata kama tatizo ni Kubwa daktari mtanzania wanaweza zungumza na mgonjwa na mwishowe mgonjwa ataliona ni la kawaida Tofauti na Daktari Mkenya.