Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

upande wa DRC hakuna barabara mkuu
Kuna reli kutokea kalemie kwenda Lubumbashi Tena kuna sehemu ni electrified trc waliingia mkataba na drc kuifanya marekebisho na ujenzi
The ongoing construction of the 468 km Kalemie–Nyunzu–Manono road, which will improve regional connectivity, reduce transportation costs, and facilitate trade across the region.
 
ndani ya mwaka mmoja wame revise exports zao upwards by 37% from USD 8bn to 11bn lakini wapi hawajafikia ya Tz 16bn. kazi kupika data tuu hao hawana uchumi wowote
And here is the reason, sisi hua tunaweka vitu wazi.

Image
 
187 new hotels, 112 new apartment buildings, new 16 island hotels. Miradi yote iko na thamani ya $6 billion. Zile vijiji za kunya wanazoita cities zitafika huku karne ijayo. 🤣🤣🤣 .. Only in Zanzibar. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DLPK-MCtzdr/?igsh=cGN5M3lyNHk3aTdj.

Kenya affordable housing mpaka 2032 inatarajiwa kuwa na dhaman ya
500bil ksh sawa na3.879 bil usd dollar , sasa huu uwekezaji wa hotel zanzibar ni mara mbili ya mradi wa wote wa affordable housing Kenya ambao ndo mradi wenye gharama baada ya sgr🤣🤣🤣🤣
 
Bandari ya kalemie ilikuwa haifanyi kazi ,sasa hivi ndo bado wako kwenye maboresho pamoja na reli hata hivyo kuna ujenzi wa vessels za zaid ya tan 5000 ulishapangwa ila wanavutia wawekezaji binafsi mpaka kufikia 2028 tutakuwa tayari tushapata vessels
Itakua poa sana,pale ni bonge la shortcut to congo,maana ni safari kama ya masaa 3 tu
 
Kenya affordable housing mpaka 2032 inatarajiwa kuwa na dhaman ya
500bil ksh sawa na3.879 bil usd dollar , sasa huu uwekezaji wa hotel zanzibar ni mara mbili ya mradi wa wote wa affordable housing Kenya ambao ndo mradi wenye gharama baada ya sgr🤣🤣🤣🤣
Ndugu zatu wao wamebakiza jidipii tu. 🤣🤣🤣 they always wish us to do good but never better than them. Sahii ndio muda uefika sasa.
 
Itakua poa sana,pale ni bonge la shortcut to congo,maana ni safari kama ya masaa 3 tu
Kwa kwenda kalemie na central drc sawa ila kwa kwenda Lubumbashi tunduma bado ni karibu sana kama drc walifanikiwa kufufua ile reli yao kwenda Lubumbashi na kuwa na meli kubwa pale za kuleta copper na madini mengine kutokea maneno mbalimbali ndani ya central drc basi speed ya sgr itatubeba sana maana kutokea dar- kgm itakuwa haizid masaa 10 na na kutokea kgm - kalemie hapazidi km 100 kwa hiyo ukipata ferry ya knot 15 tu masaa matatu mtu yuko kalemie inabaki ni speed ya kupakia na kupakua , ila tukiwa na meli za kuingiza mabehewa direct hata behewa 30 tu basi kigoma itaenda kuwa geneva
 
Ndugu zatu wao wamebakiza jidipii tu. 🤣🤣🤣 they always wish us to do good but never better than them. Sahii ndio muda uefika sasa.
Gdp sio chochote kama mna deficit ya exports versus import hii maana yake mnatumia hela nyingi kuagiza badala kuzalisha ili muuze sana .
Ukiangalia exports za bidhaa za viwandani baina ya Kenya na Tanzania , tz imeizid Kenya almost mara mbili , walichotuzid ni kuuza mbogamboga na chai ulaya na bado hata kwenye hiyo horticulture , bidhaa nyingi zinatoka tz kama avocados
 
Back
Top Bottom