Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tazara (Tanzania - Zambia Railway Authority)
DQemmPuW0AILHt4.jpg


Benguela%20and%20Tazara%20Railway%20Maps.png


pic+tazara.gif


Coaches2.jpg


Rovos-Rail-%E2%80%93-Dar-Es-Salaam-to-Cape-Town.jpg
 
Wenzenu hatufichi vdonda viongoz wakikosea tunamind na kumind kwetu tunashukuru mungu katupa magu saa hizi mkaze mwendo tupo speed ya jet
Speed ni ile ile ya konokono. Kufikia Kenya ni sawa na mtoto kujaribu kufikia umri wa babayake angali hai.
 
naona project za tanzania zimemtia mashakani ndugu mwaswast siku zote waswahili husema mbwa ukimjua jina hakupi tabu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Jamaa kachanganyikiwa, hana jipya, kabaki ku edit posts za watu, mwehu huyu..bora arudi huko kwenye forum za kabila lake, huku maji yamezidi unga
 
Einstein mwenyewe...Hahahaha! sasa weka picha ya superhighway.
Hahahahaha et einstein hahahaha akili yako na tapel hazina tofaut afu nyie cjui mna traits za wizi utapel na uhun yaan umewaza mpaka kuedit post za watu hahahaha
 
Hahahahaha et einstein hahahaha akili yako na tapel hazina tofaut afu nyie cjui mna traits za wizi utapel na uhun yaan umewaza mpaka kuedit post za watu hahahaha
Vile nyinyi washamba hata hamkuelewa kinacho endelea.
 
Mao Zedong alifanyia China kazi kubwa sana inayoonekana matunda hadi leo, Nyerere Kabarage kazi mbovu alifanyia Tz inawafanya mfurike hapa kututolea hasira.
Povuuuu afu kuwa na heshima na mzee wetu boya wewe ushaona c tunambongea mbovu mzee jomo k
 
Back
Top Bottom