Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hana uwezo wa ku-hack account yako....sana sana anachoweza fanya ni ku-edit post zako kwa kuweka maneno yake na kupost upya.easy sana.ondoa shaka icho. Lakini wewe @ichoboy01 ni pumbu sana kama ulifikiri amehack account
 
RUVU DRY PORT ICD AREA : KWALA OpenSanit INDUSTRIAL DEV
maxresdefault.jpg

Nimekwambia utakoma huna uwezo wa kujadiliana na watu wenye akili kubwa kama mimi. Kenya is old school country. Imeshapitwa na wakati.
Akili zako ni finyu sana hebu weka picha za SGR za hivi sasa sio za March 2017.
 
poa bro ndo tuseme leo kakanyaga kaa la moto😀😀😀😀😀😀😀😀
ukiona hivyo, jua kisu kikari na cha moto cha ngariba wa kikurya kinakatiza katikati ya makalio yake...lazima apige yowe kwa sauti ya juu.
 
oya mshuulikieni huyo mwaswast ame hack account yangu na kupost upuuzi naona leo kapatiwa kibano kitakatifu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Ameshindwa kujenga hoja zake binafsi, analeta akili za Kibera humu ndani kwa ku forward post za wengine, sasa lengo la JF ninini?, kama ameshindwa ni bora arudi huko kwao JamiiForums.com na kilimani dads and mums akaungane na wenzake.
 
nilijua anaakili kumbe kajaza pumba😀😀😀
 
Back
Top Bottom