ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,517
Hawa👇👇👇Yet mkitaka kujenga majengo mnatafuta Wasanifu kutoka Kenya.
![]()
Huyo koinange ndio yule ana manyonyo na amejichubua ngozi!?
Hahaha 🤣
Nywele zimepigwa uzungu.
NIDA?Baadhi ya Mashirika na Makampuni yaliyotoa Dividend leo
Twiga Minerals = Tsh 99B
Airtel Tanzaia = Tsh 73.9B
NMB = Tsh 68.1B
PUMA = Tsh 13.5B
TPDC Tsh 11.7B
NBC Tsh 10.5B
TPA = Tsh 181.5B
NIDA = Tsh 38.8B
TFS = Tsh 29.8B
BRELA = Tsh 20.4B
TCRA = Tsh 19.2B
TASAC = TSh 16.3B
OSHA = Tsh 10.4B
Ndio. Companies nyingi zimefanya integration. Na wanalipia kila request.NIDA?
Baboon bado unaongelea masomo? Ebu tuonyeshe results slips zako tuone.🤣🤣🤣 mitihani za Kenya nilishawahi post humu na watu wengi pia walishawahi zipost humu. Mtoto bright wa form4 Tz anaweza kuwa lecture hapo kenya bila matatizo yoyote.
Watu tayari walishachezea kizipoHii kama ni soda Haina gesi... Huwa anasoma habari kwa kurembua Sanaa
Those issues are personal.Baboon bado unaongelea masomo? Ebu tuonyeshe results slips zako tuone.
😂😂🤣🤣😂Do they know Luos are the smartest people academically in East Africa omera? 🤣 🤣
Are you Smart? Remember your President is a form 4 leaver. Tanzania is a country categorized by Primary School dropouts.Hakuna mkenya smart mbele ya mtanzania smart. Smart Tanzanians are the smartest people in the whole of Africa. Unamjua raisi wa bunge la dunia wa sasa.? She’s Tanzanian
What do you mean form 4 leaver? Kwikwikwikwikwi Kundudweller always is a KundudwellerAre you Smart? Remember your President is a form 4 leaver.
Hawa👇👇👇
View: https://x.com/CJ_Haslett/status/1877265315173646568?t=avWt0nx1dInuco-SeMnb3A&s=19
Kwa taste gani ya achitectural design?
Nimewahi kuwauliza humu, mkisema CBD mnamaanisha nini ila hamjawahi kutoa majibu.Instanbul, kwa hivo Kisutu sio CBD ama unajaribu kusemaje?
Very beautiful Parliament Building in AfticaKwa hii taste.
![]()
Smart people na mpaka leo hamjawahi kutoa Rais hapo Kenya, nyie ni takataka.Do they know Luos are the smartest people academically in East Africa omera? 🤣 🤣