Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenge wana ringia kupata A's za River road university.
Wewe hukukanyaga shule nyamaza. Mark you The University of Nairobi is the best University in East and Central Africa, the 9th best University in Africa and 280th in the World. Tell us about your school.
 
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/1933877757534261278

Those r 2 interchanges!
GtZ_Yd2XkAAGdd3

Kwan hiyo Twitter sijui x imefungwa wap? Mbona serikali bado inapost huko? Mimi sielewi
 
Akina NairobiWalker wakija Dar wanapenda kutembelea Mitaa ya wahindi Kisutu na kusema wamefika Dar CBD ili kufeed tu their ego😂😂.

Jana nilikutana na wakenya wawili wanaishi kabete Nairobi. wamekuje kuangalia Kariakoo derby. Kimsingi ni mashabiki wa yanga. Wamekuwa dissapointed kweli baada ya derby kutokuwepo. Basi kwa kuwa nilikuwa naelekea posta nikawapandisha mwendokasi tena ikaja ile ya gesi CNG, kutoka morocco, ile bus ina charging ports, full ac. Yaan I wish ningewachukua picha walivyokuwa surprised na developments za Tz,

na mimi kwa kiherehere nikawaconvice wapande sea táx, kwanza wanachangaa jinsi tunavyotumia kadi na jinsi sea táx inavyosimama stable pale ferry. Basi baadae wakasema niwapeleke SGR Terminal wakashangae Treni ya umeme, nikawapeleka tu.

Hawa wakenya tambo wako nazo mitandaoni tu ila kwa ground they see Tanzania to be more developed than kenya hasa wanaokuja kutembea. Wana hadi jersey za yanga

Hii ndo CBD niliyowaonyesha. Sio ile ya NairobiWalker ya nyumba za wahindi kisutu

PXL_20250615_055814675.NIGHT.jpg
PXL_20250615_061022297.NIGHT.jpg

PXL_20250615_060748293.NIGHT.jpg
PXL_20250615_060438187.NIGHT.jpg

PXL_20250615_061335993.NIGHT.jpg
 
Kenge wana ringia kupata A's za River road university.
If you have any idea of Kenyan education system, you would comprehend the value of achieving a straight A in national high school exams. It’s very difficult , only the top brains do it. That’s what Teargas is talking about . All the top world universities, the likes of Harvard recognize that .Harvard and other Ivy League universities admit many Kenyan straight As form four achievers and only As. Teargas is in another level on academic matters. Respect that! ..Facts!
 
Hamna kitu kijana. Tulishawahi kuweka mitihani hapa ya Kenya vs Tanzania wakenya wote waliishia mitini. Standard ya mitihani ya High Schools za kenya kwa hapa Tanzania ni form 2.

Kama unabisha weka mtihani wa High School hala sisi tuweke wa Primary School
 
Akina NairobiWalker wakija Dar wanapenda kutembelea Mitaa ya wahindi Kisutu na kusema wamefika Dar CBD ili kufeed tu their ego😂😂.

Jana nilikutana na wakenya wawili wanaishi kabete Nairobi. wamekuje kuangalia Kariakoo derby. Kimsingi ni mashabiki wa yanga. Wamekuwa dissapointed kweli baada ya derby kutokuwepo. Basi kwa kuwa nilikuwa naelekea posta nikawapandisha mwendokasi tena ikaja ile ya gesi CNG, kutoka morocco, ile bus ina charging ports, full ac. Yaan I wish ningewachukua picha walivyokuwa surprised na developments za Tz,

na mimi kwa kiherehere nikawaconvice wapande sea táx, kwanza wanachangaa jinsi tunavyotumia kadi na jinsi sea táx inavyosimama stable pale ferry. Basi baadae wakasema niwapeleke SGR Terminal wakashangae Treni ya umeme, nikawapeleka tu.

Hawa wakenya tambo wako nazo mitandaoni tu ila kwa ground they see Tanzania to be more developed than kenya hasa wanaokuja kutembea. Wana hadi jersey za yanga

Hii ndo CBD niliyowaonyesha. Sio ile ya NairobiWalker ya nyumba za wahindi kisutu

View attachment 3369730View attachment 3369737
View attachment 3369731View attachment 3369732
View attachment 3369740
Sasa hii stretch ya 200m ndio CBD?
 
Hamna kitu kijana. Tulishawahi kuweka mitihani hapa ya Kenya vs Tanzania wakenya wote waliishia mitini. Standard ya mitihani ya High Schools za kenya kwa hapa Tanzania ni form 2.

Kama unabisha weka mtihani wa High School hala sisi tuweke wa Primary School
Then how comes Kenyan education is more recognized and valued in the world over yours … Why do world top tech companies come to set up or recruit in Kenya and not Tanzania … Why do developed nations college students recruit Kenyan tutors online and not Tanzanians…. You can believe about your education system all you want but facts show otherwise.
 
Back
Top Bottom