Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hii taste.

202006africa_tanzania_parliament.jpg
Taste gani?

That's a democratic instrument.
 
🤣🤣🤣 mitihani za Kenya nilishawahi post humu na watu wengi pia walishawahi zipost humu. Mtoto bright wa form4 Tz anaweza kuwa lecture hapo kenya bila matatizo yoyote.
Sahihi kabisa. Nakumbuka kuna wakati watu walikua wanapeleka watoto wao Kenya na Uganda Secondary kwasababu ya ugumu wamithani ya Tz. Tanzanian education is aimed at acquiring the best of the best. Na hio ni O level tu.
 
Watu waliokuwa wamesoma Uganda au Kenya wakija TZ walikuwa hawatambuliwi ilibidi wasome mwaka mmoja ndio waende chuo au A level
 
Kuna mkenya mmoja nilikutananae kwenye shule flani huko tanga, alikua anatoka kwao huko kuja kusoma HGL bongo, alifeli mitihani ya interview kujiunga na kidato cha tano hapo shuleni , ilibidi arudie mwaka mmoja.
 
Elimu yao ni hovyo sn, ndiyo mana Kenya wamejaa watu wa masomo ya arts na kidogo economics lkn wana sayansi ni wachache mno Kenya.
 
Back
Top Bottom