2002 ata the tallest tower ilikuwa ubungo plaza 14flrs[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
2002 ata the tallest tower ilikuwa ubungo plaza 14flrs[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwanaume unaongelea juu ya 'handsome men' ???aliyefanya huu utafiti ni "mtu bad" sana.
kaamua kutuweka karibu na watani zetu....tanzania namba saba,kenya namba nane.
NB:
in my opinion,kenyans are too ugly...it's a big mistake to put them in a top ten list of handsome men in africa...they should put together in a single group with their cousins; south sudanese
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
it's a joke guys...don't take it serious.
Lets base our issues on this >>> Battle: Dar es Salaam vs NairobiKwahiyo kina lewis hamjaona swal langu m nataka kujua chanzo cha ugomvi wa ruos na kikuyus mbona mnajifanya hamwon wakati meuliza kiroho safi nataka kujua
Unaongea sana. Tatizo umejificha huko kenya hebu nakutaka orodhesha projects zinazofanyika Kenya ili uweze kuona zinazoendelea TZKenya alone accounts for 30% of ongoing constructions in Afrika. Sasa wewe sijui unaongea kuhusu takataka gani hapo danganyika
nice rendersUnaongea sana. Tatizo umejificha huko kenya hebu nakutaka orodhesha projects zinazofanyika Kenya ili uweze kuona zinazoendelea TZ
Ushamba unakusumbua
1. Dodoma Stadiumu more than 90,000 people
2. Msalato International Airport
3. Salenda Bridge
4. SGR (Electrified)
5. STIEGLER'S GORGE electricity
Hahahaha times tower ni 30[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dar hakuna over 35..tpa ni 35..times tower ni 38....na kwa architecture tunatumia metres wala si floors...UAP NI 163 metres na ina 33 floors times tower 38 na ni 140 metres
Prism ni 30ulete facts uwache kupayuka kanakwamba unafikiria na tako
times tower - 38 floors
p- 34 floors
Wakati wangu wote niliokuwa hapa Nairobi Kenya kwa mapumziko ya sikukuu, nimekuwa mzito kumtembelea Tundu Lissu mara kwa mara. Naona soni. Soni ya kumtazama steringi wa demokrasia, siasa, na utawala wa sheria akiwa amelala kitandani. Anazungumza hadi anaumiza. Anauliza hadi analiza. Nimekwenda mara mbili tu tangu nifike tarehe 20 mwezi huu.Anko naomba nijulishe historia ya ugomvi wa jaruos na kikuyus ulianzia wapi au tatzo chanzo chake nn
Project zinazoendelea saa hizi ni bab kubwa hapa.
zitaje hapa πππππKenya alone accounts for 30% of ongoing constructions in Afrika. Sasa wewe sijui unaongea kuhusu takataka gani hapo danganyika
Pindi Watanzania watakapoingiliana na kuwajua kikweli Wakenya, au Banyarwanda au hata Waganda wataona dhahiri kuwa wenzetu hawa wameendelea mno kifikra na kisiasa kuliko sisi.Hahahaha times tower ni 30[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em kuweni serious kidogo
Ivi uko chini ni 18flr kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa kupika data
post [HASHTAG]#60015[/HASHTAG]zitaje hapa πππππ
Hii nchi tuna asili ya unafiki,wivu,husuda na chuki bila ya sababu za msingi,nilimsikia JPM alivyochaguliwa kuwa mwenyekiti EAC hutuba yake ya kwanza na matendo yake ni mbingu na ardhi. /QUOTE]
tanazaniaProject zinazoendelea saa hizi ni bab kubwa hapa.
1. Lapsset
2. Sgr phase 2
3. Avic Towers 1, 2, 3, 4, 5, 6.
4. Cyton Towers 1, 2, 3.
5. Pinnacle Towers 1, 2
6. Montave Towers 1, 2
7. 88 Nairobi Tower
9. Akili Tower
10. Msa - Nbo express highway 6lanes 20interchanges
Etc.... Nyingi sana tena sana
>>>Pindi Watanzania watakapoingiliana na kuwajua kikweli Wakenya, au Banyarwanda au hata Waganda wataona dhahiri kuwa wenzetu hawa wameendelea mno kifikra na kisiasa kuliko sisi.
Kutokana na elimu yao kubwa, hawatishwitishwi kama Watanzania. Hilo huenda likawageuza Watanzania na kuona wazi ukiukaji mkubwa wa haki zao za kibinadamu unaofanywa na Watawala na vyombo vyao...polisi na wakuu wa kisiasa, na huenda wakataka uhuru kama walionao wenzao.
Kwa mfano, wakati Tanzania mtu mmoja tu (rais) anaweza kuzuia matangazo mubashara ya Bunge, jambo kama hilo haliwezekani Kenya au Uganda. Kwa maana nyingine, taasisi (institutions) za Kenya, Uganda na hata Rwanda zimeendelea zaidi kuliko za Tanzania.
HII HASA NDIYO SABABU WAJANJA HAWA WANAKWAMISHA MUUNGANO KAMILI WA EAC.
Na ndiyo maana watawala hawa hupendelea zaidi SADCC, kwa vile shirikisho hili ni butu, halina ndani yake mechanism ya kuweza kuwabadilisha Watanzania kifikra.
Tanzania wanafiki hadi visa ya eac hawataki
Kenya: Police Killed, Beat Post-Election ProtestersPindi Watanzania watakapoingiliana na kuwajua kikweli Wakenya, au Banyarwanda au hata Waganda wataona dhahiri kuwa wenzetu hawa wameendelea mno kifikra na kisiasa kuliko sisi.