Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Britam Tower - Kenya
Number of floors 32
if mixed use each floor 3.5M
Total floors Height 3.5 x 32 = 112M
But Britam Tower has 200m
We take 200 - 112 = 88M
Assume 20M for roofing and other issues except Mnara.
88 - 20 = 68
So Mnara height = 68M
 
ungekua unajua travel advisor ungenyamaza na kuacha aibu ndogo
Tatizo lenu ninyi mnakuwa kama wafugaji mifugo ya asili, mnasifia idadi ya mifugo lakini mapato yake ni karibu na zero, sasa mnapata kiasi gani cha pesa kutokana na huko kutajwa, au kwenu muhimu ni sifa za kijinga?, mnajua kwamba tourism revenues zenu zote kwa mwaka ni less than yale ya Serengeti pekee?..meza hicho kidonge usitapike
 
haha eiffel tower ina 2 floors lakini ni over 300m
eiffel ni mnara tu ndugu😀😀😀😀😀😀 nioneshe floor hapo
GettyImages-93299393.jpg
 
Sisi Hauna BRT je nyinyi mna SUPERHIGHWAY yeyote hata kama ni ya kilometre mbili?
Kwanza ninakushukuru kwa kukubali kwamba hamna na wala haitowezeka kupata BRT ndani ya miaka 50 ijayo, mtaendelea kupanda matatu zimejaa kunguni. Sasa high way bila vyombo vizuri vya public transport inasaidia nini?
 
1. Nyie mnadaraja kama letu la Kigamboni?
2. Ninyi mna BRT safi kama yetu iliyopata ushindi no. Duniani?
3. Nyie mnausafiri mzuri wa kwenye maji kama boat zetu safi?
Kwikwikwikwi.

00341504:c36d455d68812d01e09ae2699523f9f4:arc614x376:w614:us1.jpg
Huu ni upuzi mtupu wa LDC nations. Njoo Kenya ujione mshamba.
 
Back
Top Bottom