Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAIROBI =O ZERO
DAR =4
Motochini! vipi kaka kupotea hivi hata Ktalk ulipotea yani hawa waKenya walikufunza mpaka Kiswahili ikabidi upotee kiasi? Karibu JF Tena ila hapa pia tupo na kuwapiga Tz makonde left,right and center.
 
haha eiffel tower ina 2 floors lakini ni over 300m
Building floor height ni standard dogo.

upload_2017-12-28_10-53-45.png
 
Kama unakuja Kibera wewe fika haraka na usisahau kibakuli kama omba omba wenzako tukuchangie angalau usafiri na SGR usikie vile middle incom husikia.



Bila wakenya JF is useless.
Hivi vipi njaa?, na je mlishamaliza kulipa deni lenu la chakula mnachoagiza kwa mkopo toka Tanzania kuanzia 2014 hadi leo?.
Angalizo; Kuanzia January 2018 hatutowapa chakula kwa mkopo, nchi yenu deni lake halilipiki kwa hiyo hamkopesheki wala hamuaminiki tena duniani.
 
Back
Top Bottom