instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,491
Nimesema DJI pocket 3 zimeisha Dar? Au kwenye dula langu pendwa? And who told you 23 years old in Tanzania don't run shops. Just why I şaíd you didnt visit Kariakoo. Ungetembelea Kariakoo ungekuta hata watoto wa 12 years running shops and they know everythingHivi Unadhani sisi tunanunua wapi hizi vitu? Ndio maana huwa nakwambia hujui Kenya kama unavyodhani. Wewe unaongelea Osmo 3 kuisha, hapa Nairobi there's no single day hiyo kitu itaisha. Osmo pocket 3 yangu combo nimenunua kwa kijana mdogo sana hapa Nairobi mwenye miaka 23. Anataka pia kuniuzia Drone but hiyo process ya kupata kibali inanikasirisha. Hili hapa duka nililonunua. Just a small shop run by a 23 year old who imports these cameras from china.
View attachment 3356421
Do you know why I ignore you most of times. Unapenda kutwist my words, you always find something to be proud for ego boosing. We call it NARSISSISM. And That's a big problem in Kenya.
Ok back to the main topic, tell us the cost of DJI OSMO Pocket 3 combo in Nairobi. Just be honnest.
I speak this because, Metrozone shop City mall is sending many DJI pocket cameras to Kenya, Uganda and Rwanda, because that camera in those countries is overpriced. So they prefer buying in Dar.