Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BYD does not have a showroom in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Nikon does not have an official shop in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Xiaomi does not have an official store in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Tofauti ya Tanzania na Kenya is.

Tanzanians after seeing no official store ya kampuni Fulani, they take it as a gap na hufungua store wenyew na kuanza kuuza at a wholesale or rejareja. Hufata bidhaa wenyew na kutengeneza connections na big stores duniani hasa Dubai, China, turkey na India. Ingia Instagram, you will see a lot of store selling only Xiaomi or Nikon cameras owned by Tanzanians.
So ni ngumu kukosa kitu Dar, just know that.
Na hapo ndo Tanzanians wanawapiga gap kwenye entrepreneurship.

Even yesterday My favorite Metrozone shop inayosell cameras kama DJI osmo pocket 3 ilikuwa imeishiwa combo type but within 24 hours wameimport kutoka Dubai kutumia air Tanzania, sidhani Kuna mtu anafikiria NAIROBI kama backup. Kwanza vitu vyenu viko overpriced sana ni bora tu uagize moja kutoka china.
 
Ona sasa kilaza anajipiga risasi ya mguu alafu vilaza wanampigia makofi.

Bongolala, your own screenshot clearly states that the purpose of EACLC is trade, import and export. Tell me which mall engages in import and export business

The audience is stated as traders and importers while that one of a mall is described as shoppers, tourists and consumers.

The main activity in EACLC is goods distribution and storage. That one of a mall is shopping, entertainment and dining.

Mnajaribu kulazimisha usiku iwe mchana
Govi boy kama kawaida yako. Hii insha umemeandikia nani?
 
The thing you need to know is kwasasa mtanzania akikosa kitu Dar anafata China, na ndugu zanu huja huku bongo kununua bidhaa ndio China yao kwasasa.
Huyo jamaa Bado wanaishi 1970s Tanzania ilipokuwa kwenye socialism, vitu vilipokuwa banned so walikimbilia Kenya.

But nowadays sidhani Kuna mtu anaiwaza Nairobi kama backup. Kwanza vitu kwao viko overpriced. NairobiWalker ana DJI osmo pocket 3 hebu tuambie alinunua sh ngap Nairobi halafu tulinganishe na same manunuzi kwa Dar. Ni mtu crazy ataiwazia Nairobi for business
 
Tofauti ya Tanzania na Kenya is.

Tanzanians after seeing no official store ya kampuni Fulani, they take it as a gap na hufungua store wenyew na kuanza kuuza at a wholesale or rejareja. Hufata bidhaa wenyew na kutengeneza connections na big stores duniani hasa Dubai, China, turkey na India. Ingia Instagram, you will see a lot of store selling only Xiaomi or Nikon cameras owned by Tanzanians.
So ni ngumu kukosa kitu Dar, just know that.
Na hapo ndo Tanzanians wanawapiga gap kwenye entrepreneurship.

Even yesterday My favorite Metrozone shop inayosell cameras kama DJI osmo pocket 3 ilikuwa imeishiwa combo type but within 24 hours wameimport kutoka Dubai kutumia air Tanzania, sidhani Kuna mtu anafikiria NAIROBI kama backup. Kwanza vitu vyenu viko overpriced sana ni bora tu uagize moja kutoka china.
We mwambie tu mfano Kuna agent wa yutong Tanzania Yuko mikocheni, ila bado Kuna wabongo wanaenda kununua direct from yutong china.

Kuna kiwanda cha faw pale pwani ila Kila meli ukiingia bado Kuna malori shazi ya faw yanaungizwa na wabongo.
 
Hawa kweli huwa wanasoma maoni yetu humu jf, japo huyo mofat wamezingatia nn? Mbona mkataba wa muda mrefu hivyo? Je, akishindwa?
Ngoja tuone labda wameishajifunza kwa makosa.

Tuombe tu isijekuwa wapigaji waliokuwa UDART wamehamia Huko ili kuendeleza mirija yao. Mafisadi wana Njia nyingi za wizi, hawashindwi kuchukua % Fulani kila profit kwa miaka 12

Hio Mofat Hisa zake zingekuwa Dar stock exchange, kila mtu anunue na faida tugawane and hence tuboreshe Huduma
 
Kama kawaida huimini. Ndio maana huwa nawaambia chuki yenu dhidi ya Wakenya ni juu ya mambo ya kukaririshwa na wanasiasa Wala sio ukweli hamsikii. Fanya research yako alafu uje uniambie kama nimedanganya. It's interesting how Kila Mtanzania Analia eti mlinyanyaswa yet hakuna mwenye anajua huu ukweli.
Citation please. Can you provide source ya Taarifa zako.
Yaan mnapenda kuact kama vile ni watu innocent sana in East Africa, hamjui tu watu walishawashtukia kitambo and they ignore you.
Kuna mganda mmoja akisemaga kenya have the problem of BIG BROTHER SYNDROME
 
Ngoja tuone labda wameishajifunza kwa makosa.

Tuombe tu isijekuwa wapigaji waliokuwa UDART wamehamia Huko ili kuendeleza mirija yao. Mafisadi wana Njia nyingi za wizi, hawashindwi kuchukua % Fulani kila profit kwa miaka 12

Hio Mofat Hisa zake zingekuwa Dar stock exchange, kila mtu anunue na faida tugawane and hence tuboreshe Huduma
Haya magari ya BRT ya Mofat yapo TZ tangu mwaka jana. Yalishuswa bandarini tukaambiwa yanaenda nchi nyingine. Lakini ilikuwa kimya.
 
Another ban!
IMG_6948.jpeg

And Incase you forgot just last year:
IMG_6949.jpeg
 
Citation please. Can you provide source ya Taarifa zako.
Yaan mnapenda kuact kama vile ni watu innocent sana in East Africa, hamjui tu watu walishawashtukia kitambo and they ignore you.
Kuna mganda mmoja akisemaga kenya have the problem of BIG BROTHER SYNDROME
Ziko Kila mahali bro. Stop being lazy. You are normally very good at shouting how the white man owns this % in a Kenyan company but ikija kwa hii ya EAA mnajifanya hamjui kitu. Ndio maana huwa nawaambia wengi wenu history yenu ni ya wanasiasa.

And this explains the real reason why it broke up. Forget story za wanasiasa wenu

Tofauti ya Tanzania na Kenya is.

Tanzanians after seeing no official store ya kampuni Fulani, they take it as a gap na hufungua store wenyew na kuanza kuuza at a wholesale or rejareja. Hufata bidhaa wenyew na kutengeneza connections na big stores duniani hasa Dubai, China, turkey na India. Ingia Instagram, you will see a lot of store selling only Xiaomi or Nikon cameras owned by Tanzanians.
So ni ngumu kukosa kitu Dar, just know that.
Na hapo ndo Tanzanians wanawapiga gap kwenye entrepreneurship.

Even yesterday My favorite Metrozone shop inayosell cameras kama DJI osmo pocket 3 ilikuwa imeishiwa combo type but within 24 hours wameimport kutoka Dubai kutumia air Tanzania, sidhani Kuna mtu anafikiria NAIROBI kama backup. Kwanza vitu vyenu viko overpriced sana ni bora tu uagize moja kutoka china.
Hao Xiaomi/Redmi wenyewe wana maduka na store karibu kila nchi lakini sielewi mbona hizi kondoo huwa zinapenda kubrag vitu vidogo vidogo zenye Impact ndogo kwenye jamii namna hii!
Huwezi ona hata siku moja waki brag vitu vyenye manufaa kwenye jamii, wao ni upuuzi tu.
 
Ngoja tuone labda wameishajifunza kwa makosa.

Tuombe tu isijekuwa wapigaji waliokuwa UDART wamehamia Huko ili kuendeleza mirija yao. Mafisadi wana Njia nyingi za wizi, hawashindwi kuchukua % Fulani kila profit kwa miaka 12

Hio Mofat Hisa zake zingekuwa Dar stock exchange, kila mtu anunue na faida tugawane and hence tuboreshe Huduma
Jambo la msingi, miaka 12 siyo mingi.
 
Wacha kujifanya unajua sana na hakuna kitu unajua, most government services zinapatikana kwa Huduma Centers, na zinapatikana country wide. Nairobi CBD is the biggest commercial hub in the region. They say ukikosa kitu ya kununua Dar is a slum au Kampala, itafute Nairobi.
Haya tuagizie wapi tutapata catenary ya SGR hapo Nairobi?
 
Hao Xiaomi/Redmi wenyewe wana maduka na store karibu kila nchi lakini sielewi mbona hizi kondoo huwa zinapenda kubrag vitu vidogo vidogo zenye Impact ndogo kwenye jamii namna hii!
Huwezi ona hata siku moja waki brag vitu vyenye manufaa kwenye jamii, wao ni upuuzi tu.
Shida yao wanasubiri kufanyiwa kilakitu na wageni hawawezi wakawa na initiative yao wenyewe.
 
Kuna huyu mwingine alikuwa anapenda kubrag upuuzi. 😂😂😂
 
Tofauti ya Tanzania na Kenya is.

Tanzanians after seeing no official store ya kampuni Fulani, they take it as a gap na hufungua store wenyew na kuanza kuuza at a wholesale or rejareja. Hufata bidhaa wenyew na kutengeneza connections na big stores duniani hasa Dubai, China, turkey na India. Ingia Instagram, you will see a lot of store selling only Xiaomi or Nikon cameras owned by Tanzanians.
So ni ngumu kukosa kitu Dar, just know that.
Na hapo ndo Tanzanians wanawapiga gap kwenye entrepreneurship.

Even yesterday My favorite Metrozone shop inayosell cameras kama DJI osmo pocket 3 ilikuwa imeishiwa combo type but within 24 hours wameimport kutoka Dubai kutumia air Tanzania, sidhani Kuna mtu anafikiria NAIROBI kama backup. Kwanza vitu vyenu viko overpriced sana ni bora tu uagize moja kutoka china.
Hivi Unadhani sisi tunanunua wapi hizi vitu? Ndio maana huwa nakwambia hujui Kenya kama unavyodhani. Wewe unaongelea Osmo 3 kuisha, hapa Nairobi there's no single day hiyo kitu itaisha. Osmo pocket 3 yangu combo nimenunua kwa kijana mdogo sana hapa Nairobi mwenye miaka 23. Anataka pia kuniuzia Drone but hiyo process ya kupata kibali inanikasirisha. Hili hapa duka nililonunua. Just a small shop run by a 23 year old who imports these cameras from china.
PXL_20240524_160638090.jpg
 
Back
Top Bottom