Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kupita expressway ni kitu cha ajabu? We use expressway almost everyday wakati wewe bado unaokota takataka. Chokoraa hii.
Screenshot_20250503-151455.png
Screenshot_20250417-182120.png
Screenshot_20250417-121229.png

Kwa hizo picha hapo nani chokoraa muokota taka?fala kuhusu expressway ni show off tu,TZ project zetu zinalenga kumfikia kila Mtanzania kuanzia wa hali ya chini hadi wa kipato kikubwa,iwapo TZ tukitaka expressway ya mkopo hata leo tunaipata maana tunakopesheka,nyang'au mnaitaka sana brt kila mnapoenda kukopa mnapigwa sound
 
Where did I say Nairobi is busier than Kariakoo? First of all, I wouldn't even compare Nairobi to Kariakoo. Nairobi is a big city, Kariakoo is a small area in a big city. We compare Nairobi to Dar, not to Kariakoo...........and yes, Nairobi is busier than Dar. I'm not even the only one who noticed that. Most travellers to the two cities say that.

Yes, and I still stand with that. From what I saw, there is more construction in Eastleigh than Kariakoo. Teargass has at some point posted area views of Eastleigh here and you saw the amount of green nets there. My point is, it's interesting how you find a discussable POV like Eastleigh having more construction than Kariakoo unfathomable yet you are 100% okay with someone saying something as absurd as 'there is more construction in Kariakoo than the whole of Nairobi' (that I was responding to). Najua ni ligi but let's be serious sometimes.

What has Dar's population got to do with this discussion? Alafu mbona unarudisha huu mjadala and I once came with statistics ukakataa kudiscuss ukasema you won't go that route so why are you bringing it now in an unrelated post? Again, sijawai sema Dar haina watu 8M, niliweka statistics zangu kwamba Nairobi metro built up area has 8.2M nikakuuliza uweke statistics za Dar ukakataa mjadala sasa nashangaa mbona unauleta in an unrelated discussion.


Shida yako inakuwanga moja instanbul, you say something, someone disagrees with it unamuita mbishi even when whatever you are saying is top grade absurdity. Nakumbuka kuna siku ulipost humu Parliament road ya Nairobi - a perfectly good road, no potholes, good sidewalks, good drainage, even surface, well marked. A road that you could take anywhere on this planet and it would fit without needing any maintenance alafu unasema ni njia mbovu eti it was a testament of how bad Nairobi roads were. I disagreed with your opinion and you called me mbishi.
Nimeishia hapo uliposema Eastleigh has more constructions than Kariakoo.
Mimi nadhani nikuache tu
 
From a Nigerian. Wanasemanga sisi Wakenya tunachukiwa Africa nzima.


View: https://www.youtube.com/watch?v=AGhJIOEn3D0

Kwan alifukuzwa yeye au activists wa Kenya?

Watu wengi wamekuwa praising Kenya for views because wanajua vile mnataka sifa.

Anasema Zuchu alisema hatacoraborate na mkesha kisa Samia kusemwa. Hio video iko wap? . Yaani mnatengeneza propagandas zenu na media uchwara ili kuplay victims. And we know your aim is to destroy Tourism industry ya Tanzania kwamba iwe termed sio safe by the west after seeing Toursim is booming in Tz. Leo nimeiona mnasema Mpango kajiuzulu. Yaan msipocontrol hizo media zenu zitawarudisha 2007 muuane tena.


Mmeshupaza shingo kwa activists ambayo hawajashow evidence yoyote.
Vip kuhusu Hali hii Kenya few weeks ago
1749034831227.jpg
 
Kwan alifukuzwa yeye au activists wa Kenya?

Watu wengi wamekuwa praising Kenya for views because wanajua vile mnataka sifa.

Anasema Zuchu alisema hatacoraborate na mkesha kisa Samia kusemwa. Hio video iko wap? . Yaani mnatengeneza propagandas zenu na media uchwara ili kuplay victims. And we know your aim is to destroy Tourism industry ya Tanzania kwamba iwe termed sio safe by the west after seeing Toursim is booming in Tz. Leo nimeiona mnasema Mpango kajiuzulu. Yaan msipocontrol hizo media zenu zitawarudisha 2007 muuane tena.


Mmeshupaza shingo kwa activists ambayo hawajashow evidence yoyote.
Vip kuhusu Hali hii Kenya few weeks ago
View attachment 3355730
Nenda kamweleze hayo kwa channel yake. Mimi nimepitisha tu ujumbe. After all, even if I make a counter paragraph of mine disputing your hogwash with facts utaniita tu mbishi alafu useme "wacha nikuache". 🤣
 
Busy doing what?

All public offices, businesses, hawkers, government institutions CONGESTED in Nairobi CBD.

A single way to and from CBD.

Kuwa na zig zag movements kwenye Nairobi CBD, ndio kuwa BUSY??
It's clear you have no idea what Nairobi is like. Most public offices in Nairobi are in Upperhill. Not in the CBD.
 
Your math teacher was a let down the map scale is too obvious for a grade 3 pupil to understand the sheer size of this structure. You said the perimeter is 706m equivalent to 26k sqm now times that to the number of floors which is 4 halafu uje hapa tena with a sane argument.
Apply the same logic here tuone nani fala?

Screenshot_20250604-112002.jpg
 
Eistleigh ni sawa na 1/4 ya kariakoo na ni chafu balaaa 👇🏾
View: https://youtu.be/jQarzLoifCE?si=_eUPba_t08Demd7P. Hakuna chochote cha kuona huko vumbi mtindo mmoja. Ndio mana huyo fala anakaza fuvu. Kariakoo is incomparable in this region. Ni rahisi kuona idadi ya gorofa zinazojengwa ndani ya eistleigh kwasababu ni ka area kadunchu.

hata robo haiingii huko kuna magorofa ya udongo bado full matope 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom