ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
regulation ni pesa kwao 😂😂😂My God hivi hawa watu hawana regulations. How can you sell matumbo namna hiyo?
regulation ni pesa kwao 😂😂😂My God hivi hawa watu hawana regulations. How can you sell matumbo namna hiyo?
Sehemu iliyokuwa busy Nairobi ni kibera mostly. 2.5m people cramped in a such a small spaceYou don’t know anything about Nairobi wewe Nyamaza. Upperhill kuna Kenyatta Avenue, Ngong’ Road, Raila Odinga Road, Haile Seilasie, etc.
Quieter ones that suggest. Isn't it?That's where you miss the point as you are only tuned to screaming facts negating the quieter ones🤣🤣🤣
Only two.How many people are in Nairobi?
Mugukaaa mindOnly two.
Are you not the same person mwenye alikataa AI? Tena ukiambiwa ulete evidence una rudi na the same AI that you didn’t want before? Ama AI is only good when it supports your claim?AI Overview
Learn more
View attachment 3355957
Commercial and logistics centers, sometimes referred to as malls, are large, indoor shopping destinations often anchored by department stores. These centers have evolved to include a variety of functions beyond just retail, such as logistics, fulfillment, and even hybrid facilities that combine shopping and logistics.
Key Features of Commercial and Logistics Centers:
Evolution of Malls:
- Retail:
Malls primarily serve as retail spaces, offering a diverse range of shops and stores.
- Logistics and Fulfillment:
Some malls have been repurposed or integrated with logistics and fulfillment centers.
- Hybrid Facilities:
They can combine retail with logistics activities, such as fulfillment and reverse logistics.
- Anchor Tenants:
Large, well-known retailers, often department stores, are often located at the ends or in the middle of malls.
- Parking:
Ample parking is typically provided around the perimeter of the center.
- Design:
They are often enclosed, climate-controlled, and well-lit, with a main walkway or "mall" flanked by storefronts.
- Traditional Malls:
Originally designed as pedestrian promenades with shops, they later evolved into large enclosed shopping centers.
- Evolving Functions:
Malls are increasingly becoming hybrid facilities, combining retail with logistics and fulfillment.
- Adapting to Change:
Many malls are being repurposed as distribution centers or fulfillment hubs due to the growing demand for online shopping and logistics.
Hii concept ni ya kwanza hapa East Africa.
She doen't even know that Tanzania wasn't British colony. She has a very limited understanding of EA issues. She has zero idea of trade arrangements of EA community then na things she talks ni mambo amelishwa na Wakenya.It's not anything from anyone. It's opinions from different people of different nationalities who have been to both cities.
Ulitaka ziishie wapi? Karen ama Lovington?Buses zote zinaishia city centre 🤣🤣🤣
Sasa upper hill si less than 2km. Ni kama kariakoo na Posta. Au posta na upanga. Upper hill si ukivuka hiyo uhuru park. Yaani mnavyoita upper hill kama vile iko mbali sana.It's clear you have no idea what Nairobi is like. Most public offices in Nairobi are in Upperhill. Not in the CBD.
Sawa ng’ombe.Sehemu iliyokuwa busy Nairobi ni kibera mostly. 2.5m people cramped in a such a small space
The same narrative yenye mmekaririshwa tangu utotoni ndio unatuletea eti sasa ndio evidence yako? How many times have we debunked this?Check comment iliyokuwa pinned. Ngoja niicopy. Huyo anatafuta views maana anajua Kenyans mnavyopenda sifa
Huyo anawachora tu. And she knows you well
View attachment 3355988
So that's the correct definition of a logistics center as described in a dictionary?logistics Centre is basically a mall with storage space.
Matumbo economy!My God hivi hawa watu hawana regulations. How can you sell matumbo namna hiyo?
Achana na hawa vinyangarika wa kitanganyika. Watu wabishi tuThe same narrative yenye mmekaririshwa tangu utotoni ndio unatuletea eti sasa ndio evidence yako? How many times have we debunked this?
Here is a breakdown of ownership of East African Airways:-
1. Kenya = 67.7%
2. Uganda = 22.6%
3. Tanganyika = 9%
4. Zanzibar = 0.7%
Muungano ulipovunjika kila mtu alichukua share yake kulingana na share alizomiliki. Mlitegemea mpate ndege ngapi na onwership ya 9.7%? Mlitegemea mpewe assets sawa na Kenya wakati Kenya ina 67.7% shares nanyi mna 9.7% pekee? Hata Uganda wenye ownership yao ilikuwa 22.6% hawalalamiki ile nyie mmekaririshwa tangu utotoni unakutana na kitoto kitanzania chenye miaka 15 kinakwambia mliiba ndege zetu?
Hapo kwa kutafuta views ni mambo ya mkosaji na ubishi tu. Yani nyie hamwezi kubali kitu hata mkipewa evidence mtatafu kisababu cha kukataa hiyo evidence. Mara data za kupikwa, mara mnapenda sifa, mara mnamilikiwa na wazungu - yani saa zingine mimi huchoka kuexplain vitu na facts humu maanake utachukua muda ukiweka facts zako in order alafu mtu mjinga anazitupilia mbali kwa reasons za kijingajinga tu.
Huwezi force mji wetu uwe kama wenu. Ulitaka CBD ibaki na nyumba za kuishi kama hapo kwenu? Nimetoa Upperhill kama mfano. Ofisi za serikali zimetapakaa kote. Nimesema tu Upperhill ina highest concentration of government offices, sijasema zote ziko huko.Sasa upper hill si less than 2km. Ni kama kariakoo na Posta. Au posta na upanga. Upper hill si ukivuka hiyo uhuru park. Yaani mnavyoita upper hill kama vile iko mbali sana.
Siku mkiondoa matatu CBD yenu kama walivyofanya Dar. Mtaona mji wenu utakavyokuwa msafi na less congested
Na hapo Bado university of Nairobi, nyayo house kufuatilia passport , wanaokuja city hall labda kufuatilia permits, watu wanaokuja KICC, na Bado office nyingi ziko CBD. Hadi mabasi mengi na vinissan vinaishia CBD, Bado hawkers, Bado Railway ya kutoka syokimau nk nk vyote CBD.
Sisi hadi Dar region offices ziko ilala huko na wanataka ziamie kabisa Magomeni. Migration iko Uhasibu huko 7km from CBD.
Kwa nini mji wenu usiwe congested. And I tell with time mtakuja sana kubenchmark Dar how decongested the city center
It's still her opinion. Si huwa mnasema hatupendwi na nchi zengine za Africa? Mkisema hivo huwa hamjui watu wa hizo nchi wana limited knowledge about East Africa.She doen't even know that Tanzania wasn't British colony. She has a very limited understanding of EA issues. She has zero idea of trade arrangements of EA community then na things she talks ni mambo amelishwa na Wakenya.
Hawa majamaa huwa hivo. Hapa instanbul hushinda akisema tunachukiwa Africa nzima. Kila nikimletea video ya watu kutoka nchi zengine za Africa wakisema wanaprefer Kenya over Tanzania anasema eti wanasema hivo kisa tunapenda sifa. Kama wanatuchukia mbona watupe sifa kutufurahisha? Yani unasikiza logic za hawa jamaa hadi unashangaa. 🤣 🤣Are you not the same person mwenye alikataa AI? Tena ukiambiwa ulete evidence una rudi na the same AI that you didn’t want before? Ama AI is only good when it supports your claim?
Jamaa una vitabu vyako vya historia umesoma.? Au ni upumbavu tu kama kawaida yako.? Mana wewe ni mkubwa na unaonekana hujui chochote. Anyways unamjua huyu jamaa na historia yake.? 👇🏾The same narrative yenye mmekaririshwa tangu utotoni ndio unatuletea eti sasa ndio evidence yako? How many times have we debunked this?
Here is a breakdown of ownership of East African Airways:-
1. Kenya = 67.7%
2. Uganda = 22.6%
3. Tanganyika = 9%
4. Zanzibar = 0.7%
Muungano ulipovunjika kila mtu alichukua share yake kulingana na share alizomiliki. Mlitegemea mpate ndege ngapi na onwership ya 9.7%? Mlitegemea mpewe assets sawa na Kenya wakati Kenya ina 67.7% shares nanyi mna 9.7% pekee? Hata Uganda wenye ownership yao ilikuwa 22.6% hawalalamiki ile nyie mmekaririshwa tangu utotoni unakutana na kitoto kitanzania chenye miaka 15 kinakwambia mliiba ndege zetu?
Hapo kwa kutafuta views ni mambo ya mkosaji na ubishi tu. Yani nyie hamwezi kubali kitu hata mkipewa evidence mtatafu kisababu cha kukataa hiyo evidence. Mara data za kupikwa, mara mnapenda sifa, mara mnamilikiwa na wazungu - yani saa zingine mimi huchoka kuexplain vitu na facts humu maanake utachukua muda ukiweka facts zako in order alafu mtu mjinga anazitupilia mbali kwa reasons za kijingajinga tu.