A Vast village center in kunyarenda. 🤣🤣🤣
AI OverviewLazima tu ingekuwa garbage in garbage out When it doesn’t favor you. How many times have you shared AI informations here?
By the way, would you mind sharing the article which states that logistics center is same as malls?
Wale waliokua wanalialia brt phase 1 kupewa mwaarabu, haya hii hapa phase 2 kapewa mbongo. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DKfAtq3qEcn/?img_index=4&igsh=MXFyd29vMHZ3Znppdw==.
nadhani ndio hiyo hiyo mkuu, vipi kwani jamaa wakoje kwenye huduma zao.?Awamu ya Kwanza ENG ( BLUE) Awamu ya Pili Mofat (GREEN)
Hii Mofat isije kuwa Mo Fast Transit ?
View attachment 3355958
Mkuu future yetu ni bright sana kaka. Tupate watu sahihi kwenye uendeshaji na ukusanyaji wa mapato, ili tuijenge miji yetu poa.Hii sector tushawapita kitambo. Na soon Tanzania will lead the whole Africa kwa matumizi ya CNG ni suala la Muda tu
From a Nigerian. Wanasemanga sisi Wakenya tunachukiwa Africa nzima.
View: https://www.youtube.com/watch?v=AGhJIOEn3D0
Sidhani.Awamu ya Kwanza ENG ( BLUE) Awamu ya Pili Mofat (GREEN)
Hii Mofat isije kuwa Mo Fast Transit ?
View attachment 3355958
instanbul here is another foreigner saying Nairobi is busier than Dar. When I say it, mimi ni mbishi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=BKYGOceVI0M
ina miaka 20 sasa white elephant project😂Mwaka wa ngapi huu toka inception?
Buses zote zinaishia city centre 🤣🤣🤣Busy doing what?
All public offices, businesses, hawkers, government institutions CONGESTED in Nairobi CBD.
A single way to and from CBD.
Kuwa na zig zag movements kwenye Nairobi CBD, ndio kuwa BUSY??
Nilitaka nimkamate, naona kakaa kimya.Buses zote zinaishia city centre 🤣🤣🤣