Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya tupate mapumziko kidogo
 

Attachments

  • IMG_20250601_141439.jpg
    IMG_20250601_141439.jpg
    607 KB · Views: 7
Hiyo hiyo kusoma na kuandika ndiyo imeleta treni ya umeme ambayo hamtakuja kuwa nayo, BRT ambayo hamtakuja kuwa nayo, modern city like dodoma ambayo hamtakuja kuwa nayo, so endeleeni kupiga kelele.
Imagine wabunge wenye wako na bachelor tupu huko kunyarenda wanashindwa maarifa na wabunge wa Tz wale wenye wanajua kusoma na kuandika tu. 🤣🤣🤣🤣

Vipi kama tutawaacha wenye bachelor na kuendelea Ndio wawe wabunge .?
 
Back
Top Bottom