Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Acha kujipa umuhimu we mnuka mavi. Mtu wa kwanza kubaini ubovu wa elimu wa baadhi ya viongozi ni JPM. Hao wabunge kadhaa wanaendelea kubaki bungeni kwasababu sera ya Tz ili mtu awe mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu. Mahali palitiliwa mkazo ni maeneo ya kiutendaji. Na ndio mana sahii tunawakimbiza karibu katika kila sector.. wasomi wamepewa nafasi zao.Mbona hamkujua before wakenya waanze ku-analyse the education level ya your leaders?