President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,055
- 93,448
3/4 ya picha umepiga chini. Na ukubwa wa hapo hauzidi meter 10. Kwikwikwikwi. Angalia zooming utanielewa vizuri.
3/4 ya picha umepiga chini. Na ukubwa wa hapo hauzidi meter 10. Kwikwikwikwi. Angalia zooming utanielewa vizuri.
Karibu sana Mkuu..Port City, Dar es salaam.
Wanataka kuiga affordable housing 😂😂Mradi wa kuondoa Slums kwenye Majiji kuanza.
New msasani 👇👇View attachment 3352514View attachment 3352515
Affordable housing ni mfumo wa watu masikini. Watu wasiojiweza kupata makazi ya kuishi.Wanataka kuiga affordable housing 😂😂
🚮🚮Wanataka kuiga affordable housing 😂😂
Hebu soma vzr nilichoandika.I don't see where he says Arusha should be exactly like Nairobi bro. Do you just create stories in your head to play victim?
Kama render mwanangu 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥Chuma ndio hiyo tena inaondoka . View attachment 3352440View attachment 3352442View attachment 3352441Chuma ndio hivyo tena 👇🏾View attachment 3352443
Hiyo hiyo kusoma na kuandika ndiyo imeleta treni ya umeme ambayo hamtakuja kuwa nayo, BRT ambayo hamtakuja kuwa nayo, modern city like dodoma ambayo hamtakuja kuwa nayo, so endeleeni kupiga kelele.Ati kusom na kuandika!
2025 !
Waaaah
That's sound so 1962
Enyewe Kuna nchi za kiafrika ni Takataka kabisa.
Oyaa kama mbele mwanangu 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥Port City, Dar es salaam.
Wewe elimu yako imefika wapi? Ama bora Kusoma na kuandika Kama viongozi wenu wote?Hiyo hiyo kusoma na kuandika ndiyo imeleta treni ya umeme ambayo hamtakuja kuwa nayo, BRT ambayo hamtakuja kuwa nayo, modern city like dodoma ambayo hamtakuja kuwa nayo, so endeleeni kupiga kelele.
Bwana weee, jamaa katisha sn, ndiyo mana huwa nasema hii Dar hatuna photographer wazuri, jamaa wa Nairobi washamaliza kila kitu, daily wanapost gtc ya mchina na talanta kwa angle tofauti tofauti, lkn Dar bado sn hatujafika hata nusu.Karibu sana Mkuu..
Kazi Yako ni kubwa na imetukukaa Sama boy 255 The best 007 kuna picha nzuri hapa kwa matumizi ya Battle
Umetisha sn mjomba.Port City, Dar es salaam.
Hii village ndio huwa unataka kulinganisha na kisumu?
Kwnn unapenda kuni qoute wakati nishakwambia stay away from me.Wewe elimu yako imefika wapi? Ama bora Kusoma na kuandika Kama viongozi wenu wote?
Anatafuta AttentionKwnn unapenda kuni qoute wakati nishakwambia stay away from me.