Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona huleti vitu kwenye mambo ya barabara.?
Kwenye barabara kuna kitabu kingine bado sijakipata. Maana Kila mkoa wamepewa kuweka barabara za kipaumbele.
But kuna zipo naziweka. Vilevile wabunge walitoa mapendekezo kwahiyo kitabu hicho cha Miradi details nikikipata naweka hapa.

Kitabu hicho kinahusu miradi tu.
 
Mbona huleti vitu kwenye mambo ya barabara.?
Kuna hii hapa ipo ndani ya Ilani

1748686444235.png
 
Hii ni CCM 2025 Election Manifesto, upo na cha kuchangia. Vipi Chama gani cha Siasa huko kenya kinatangaza Manifesto?
Kwani you just leaned the term manifesto?… you keep throwing it around like it’s your savior. Manifesto is the cousin to political propaganda. It’s other definition is line, hook and sinker..🤣🤣🤣… Good luck , you gonna need it.
 
Ushamba mwingi, kwan ni lazima watu wakae mbali na business area.
Huu ndo USHAMBA ninaoutaja wa kikenya.

Kariakoo ni unique.
Kariakoo buildings baadhi ni mixed use. Kuaccomodate kila mtu. Nyingi floor za juu huwa ni store, airbnbs, hostels, lodges nk.
Which is fine, and that makes Kariakoo kugrow haraka sana due to demand

Thanks for the Ted Talk. The fact remains, Nairobi has the biggest and busiest commercial hub in the region.

Screenshot_20250531-161225.jpg
 
Back
Top Bottom