Kumbe hii mkebe ilikwama tena jana na hawa wachawi wamenyamaza tu😂😂
View: https://x.com/KenyanSays/status/1927790632078123245
Mbona ni jambo la May 20??
Hiyo ni machine, kupata faults ni kawaida sana.
Kumbe hii mkebe ilikwama tena jana na hawa wachawi wamenyamaza tu😂😂
View: https://x.com/KenyanSays/status/1927790632078123245
Nani aliwaambia mnunue second hand trains?
Nani aliwaambia mnunue second hand trains?
View: https://youtu.be/UKT82107RxU?si=p_5-vIXSxEFgSAIS
Hizo za kwenu second hand za Diesel mlinunua wapi??
High inequality in Nairobi Kenya.
An aerial view of Just a single Lang'ata vs Kibera SLUM
View: https://x.com/KenyanSays/status/1927356165358268813?t=jyBcSt2VYwLYI1xU2uBLYg&s=19
Ushaiziona zikikwama kila wiki Kama hizo scraps zenu?
Ushaiziona zikikwama kila wiki Kama hizo scraps zenu?
Obviously what you can get is only one incident in 2021. Mimi nikianza kukuonyesha how many times hiyo mikebe yenu imekwama servers za JF zitakwama saa hizi.
OneshaObviously what you can get is only one incident in 2021. Mimi nikianza kukuonyesha how many times hiyo mikebe yenu imekwama servers za JF zitakwama saa hizi.
Tana RiverHapo ni Nairobi tana river pakoje sasa
Hapo ndio down town, Tana riverNdo makao makuu ya county ya tana river?
Sema mnaabudu hao wazungu sio poa.instanbul ingekuwa ni Diamond ameenda Breakfast Club alafu Wakenya wakalia mbona Bien hakuenda ungeshinda humu ukilia vile Wakenya wana roho mbaya.
Duu hata buhigwe pazuriHapo ndio down town, Tana river
Ndio maana Wakenya wengi wanaijua Nairobi tu.Duu hata buhigwe pazuri
Ndio maana Wakenya wengi wanaijua Nairobi tu.
Hawajui chochote nje ya Nairobi.
Kulingana na makusanyo ya mwaka 2023/2024 sumbawanga ndo ulikuwa mkoa uliokuwa na makusanyo kidogo sana ya 10bil ya mapato ya ndani ( own source)
Kwa wenzetu wa Kenya county iliyokuwa na mapato ya chini kabisa ilikuwa tana river ikiwa na 92mil sawa na 1.84bil tzs .
Naomba tulinganishe sumbawanga na mji wa hola kwa sababu ndo level zake
View: https://youtu.be/ku36ARf3pyw?si=vG3KKz5XEtlCUbKA
Kwa mwaka 2023/2024 makusanyo ya Nairobi kwa mapato ya county own source dar es salaam imeiacha Nairobi kwa tzs 6bil sasa sijui hiyo GDP yao inatoka wapi nilitegemea wangeweza ishinda dar maana kipindi hicho dar es salaam ilikuwa haikusanyo Kodi ya mabango na maegesho yote yalikuwa chini ya taruraNdio maana Wakenya wengi wanaijua Nairobi tu.
Hawajui chochote nje ya Nairobi.