Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana Wakenya wengi wanaijua Nairobi tu.

Hawajui chochote nje ya Nairobi.
Kwa mwaka 2023/2024 makusanyo ya Nairobi kwa mapato ya county own source dar es salaam imeiacha Nairobi kwa tzs 6bil sasa sijui hiyo GDP yao inatoka wapi nilitegemea wangeweza ishinda dar maana kipindi hicho dar es salaam ilikuwa haikusanyo Kodi ya mabango na maegesho yote yalikuwa chini ya tarura
 
Kuna changamoto sana ya media zetu, watu kupenda kuonekana sana.

Yaani unamkuta Msigwa anaenda Mwanza, au Nyerere hydropower na waandishi wa habari, wakifika badala watuoneshe mradi, wao wanaonekana wao tu mbele ya kamera wanaongea.

Video nyingi inakuwa ngumu kuona miradi, badala yake tunaona watu wanaongea.

Sumbawanga👇

View: https://youtu.be/L3TWZNhG3iM?si=NvS9jAQQCId1FgKU

Wakumbushe kuwa sumbawanga ndo mkoa wenye makusanyo madogo kitaifa
 
Kwa mwaka 2023/2024 makusanyo ya Nairobi kwa mapato ya county own source dar es salaam imeiacha Nairobi kwa tzs 6bil sasa sijui hiyo GDP yao inatoka wapi nilitegemea wangeweza ishinda dar maana kipindi hicho dar es salaam ilikuwa haikusanyo Kodi ya mabango na maegesho yote yalikuwa chini ya tarura
Uchumi wa Kenya ni very fake.

Wakitaja namba ichukue tu, ukitumia akili kidogo tu lazima uwaone wanazingua.
 
High inequality in Nairobi Kenya.

An aerial view of Just a single Lang'ata vs Kibera SLUM

View: https://x.com/KenyanSays/status/1927356165358268813?t=jyBcSt2VYwLYI1xU2uBLYg&s=19

Hii ndio apparently slum kubwa Africa yenye watu 2.5 million meanwhile inaonekana ndogo na nzuri kuliko Arusha town
Hapo kwa macho tu watu hawafiki laki Moja, affordable housing Mimi nimeona zaidi ya 50, Kuna zile ziko completed na zingine U/C
Pia naona bonge la bypass ambayo haziko dar slum.
The worst in Kenya looks like typical tanganyoko
😂😂😂😂
 
Hapa Ruto nampa heko, pesa zetu hazijaibiwa zote, kibera inamezwa na maghorofa 😂😍😍
1000010500.jpg
 
Kumbe kelele zote wakenya zipo kwenye namba (spending/figures) tu ila Watz tumewazidi standard of living! Imagine tunawazidi hadi access ya internet😆😆😆
 
Attachments

  • Screenshot_20250529_184149_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250529_184149_WhatsApp.jpg
    271.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20250529_184143_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250529_184143_WhatsApp.jpg
    270.3 KB · Views: 10
  • Screenshot_20250529_184130_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250529_184130_WhatsApp.jpg
    278.8 KB · Views: 9
Ndio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. 😂😂
Kwnn aombe msamaha na wakati raia wake kala kitombo? Yani kuwapiga tuwapige na bado msamaha muombe, hata kama katumia maneno ya aina gn lkn msamaha kaomba, raia wake kafirika, na wakenya mmeumia.
 
Ndio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. 😂😂
WaTZ wanajua ila siyo violent kama.m Wakenya.

Kenya hakuna siasa, kuna ujinga tu.

Wajaluo wametumia maisha yao yote kupambania ndoto na maslahi ya Familia ya Odinga.

Leo Ruto kamchukua, kampa pesa na watoto na ndugu wote wa Odinga kawapa vyeo, na Wajaluo wametulia.

Kwahiyo shida za wajaluo zimeisha??

Gikuyu maisha yote wanapambania ndoto na maslahi ya Familia ya Kenyatta.

Huwezi kukuta huo UPUMBAVU Tanzania.
 
Maana yake wewe ulikuwa unafanya kazi field mbali, na unatumia nguvu.

Watendaji wa vijiji lazima wawe diplomatic kwasababu wanaishi na hao watu.

Ofisi za mapato field wilayani. Ina lazima ofisi hizo zipewe posho, gari na mafuta kwasababu zinaenda field.

Ila nakupa mfano.
Una biashara ya Nyama au Vipodozi👇

Halmashauri inataka:
  • Leseni
  • Service levy
  • Ushuru wa taka
  • Ushuru wa bango.
  • Kama unanunua mnyama unatembeza unapaswa kulipa kibali cha movement
  • Ushuru wa machinjio

FIRE
- Wanataka fees ya ukaguzi na ununue fire equipments

TBS
  • Wanataka usajili wa premises kwa 50,000 -100,000 kwa mwaka.
  • Bodi ya nyama wanataka fees kwa mwaka

Hapa, kila taasisi inakuja kwa wakati wake, bila kujali jana kuna taasisi nyingine ilipita kwako.

Bado baba lao TRA.

Biashara haitaweza kukua hata siku moja. Na possibility ya kufa kama huho mtu analipa kila kitu ni rahisi sana.

Huwezi kula pesa za POS lazima zipote kwenye MFUMO.

Huduma nzuri zinatokana na uwekezaji.

Huduma afya za serikali hazisaidii Vituo kununua vifaa bora vingi, mpaka vipelekwe na serikali kuu.

Na pia huko private, watu wanaenda kulipa ila wakikosa pesa ndio wanaenda serikalini.

Hilo ni sawa.

Na kwakuwa Wizara ya afya ndio msimamizi, wanaweza kuboresha.

Ingawa Benjamin Mkapa inasimamiwa na Mkapa Foundation.

Shida siyo kuziendesha.

Shida ni HUDUMA za bure.

Hata ukimpa mtu mwingine, bila mapato hawezi kufanya maajabu.
Nilikua na duka la ice cream, nililifunga na nimeapa sitofanya biashara za frem tena!! Upuuzi mtu!!
 
WaTZ wanajua ila siyo violent kama.m Wakenya.

Kenya hakuna siasa, kuna ujinga tu.

Wajaluo wametumia maisha yao yote kupambania ndoto na maslahi ya Familia ya Odinga.

Leo Ruto kamchukua, kampa pesa na watoto na ndugu wote wa Odinga kawapa vyeo, na Wajaluo wametulia.

Kwahiyo shida za wajaluo zimeisha??

Gikuyu maisha yote wanapambania ndoto na maslahi ya Familia ya Kenyatta.

Huwezi kukuta huo UPUMBAVU Tanzania.
Mzee Kenyatta alimuambia Nyerere kwamba anaongoza maiti, watu wasiojifahamu (braindead)
 
Hii ndio apparently slum kubwa Africa yenye watu 2.5 million meanwhile inaonekana ndogo na nzuri kuliko Arusha town
Hapo kwa macho tu watu hawafiki laki Moja, affordable housing Mimi nimeona zaidi ya 50, Kuna zile ziko completed na zingine U/C
Pia naona bonge la bypass ambayo haziko dar slum.
The worst in Kenya looks like typical tanganyoko
😂😂😂😂

Kuna slums dwellers wangapi hapo kunyaland..
Screenshot_20250527-161833.png
 
Sema mnaabudu hao wazungu sio poa.
You hype too much hio media.

Bado mna kazi kubwa as a Kenyans kutengeneza your own startups na kuziembrace

Diamond ana media yake na sasa inashindana na media zote kubwa za Kenya. Wasafi Media. Hana shobo za kwenda huko sijui kuhojiwa.

I could take it seriously kama Bien labda angeanzisha media yake.
Tunawaabudu vipi na mnalalamika mbona Dayamondi hakuitwa? 🤣 🤣 🤣
Shida yenu ni unafiki. Kenya wakiitwa eti wanaabudu wazungu, nyie mkiitwa hatupumui. Waskie bongolala wenzako.

View: https://x.com/kenyasgossips/status/1927640491446722853?s=46
 
Back
Top Bottom