ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
wacha upumbavu wewe JPM hakuwa na mpango wa kuipeleka reli Kigoma kuna clip ya Zitto Kabwe akiliongelea hilo!Mipango ilianza kabla ya Magu kufariki.
Sawa.RWanda, Burundi, Uganda lini?
Ushawahi ona wanakuwa na online battles au raia wakitukana watanzania au watanzania wakitukana viongozi wao kama nyinyi .
Kenya versus Uganda
Kenya versus Sudan.
Kenya versus somalia
Kenya versus tanzania
Kenya versus Ethiopia
Yaan Kila nchi mnagombana nazo Tena mnatukana mpaka viongozi wao halafu mnataka heshima🤣🤣🤣🤣
Isn't it supposed to be encrypted?Website ya bunge ina info na namba za simu za wabunge wote, wacha kujipa umuhimu.
Hekima na adabu gani mnayo jinsi mnavyoandika matusi hapa usiku kucha 😅 mnataka double standards kama naniNi taifa lisilo na busara, hekima na adabu.
Nimependa venye Genz wana deal na serikali ya TZ, huku serikali ya kenya imetulia... 😁 😁 ..Hekima na adabu gani mnayo jinsi mnavyoandika matusi hapa usiku kucha 😅 mnataka double standards kama nani
Kumbe kunawanaotaka kuinject Karua? 😳
View: https://x.com/kwajackcyber0/status/1927315114144727136?t=JBVh2kW7M0sEpgyQBWgtdg&s=19
Pitia hapo 0:54 umskie msukuma 🤣🤣🤣 kanyoosha ukweli, hatuna chochote cha kujifunza kutoka kenya. 🤣🤣👇🏾
View: https://youtu.be/Nv97ums8GOo?si=d_Da0TwLDWVk-obO.
wacha upumbavu wewe JPM hakuwa na mpango wa kuipeleka reli Kigoma kuna clip ya Zitto Kabwe akiliongelea hilo!
View: https://youtu.be/CKuzdhz7n94?si=Iz7w0MjVNBus99n0