concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Chuki mlizikuza nyinyi wenyewe, hiyo mpaka imefikia bungeni ujue Kuna watu washawachoka, tuna evidence nyingi sana za nyinyi kuwachokonoa watanzania na mara nyingi tumekuwa kimya sana. Sasa kama Serikali yenu imeweza bariki raia wenu wadhalilishe rais wa nchi nyingine mlotegemea tukae kimya.Because you don't hate them the way you hate us. You have no proof hate speech imeanzia kwetu but I have proof your MPs uttered hate speech against Kenya in parliament. Huwezi linganisha uzito wa banter tunazopigana humu JF na wabunge kuongea hate speech kwa parliament. Yani ni kama Mbunge wa Kenya aje humu apate mpumbavu kama Venus Star akipost hizo vitu zake za utoto alafu aende bungeni aanze kuisema Tanzania eti nchi ya ovyo. What kind of inferiority complex and hatred is that?
Tunaweza evidence ya hate speech zaid 1000 za wakenya kwenye mitandao ila hutakuta hate speech directed hata kwa huyo ruto kutoka kwa mtanzania.
Mkitaka respect na heshima , mjifunze kwanza kurespect wenzenu.
Refer case ya diamond tu mlivyoreact as a nation , hiyo ilikuwa wake-up call.