Hili swala unaweza kuwa sahihi katika nchi ambazo zimefuta kabisa ukabila, lakini katika nchi ambazo ukabila ni tatizo kama ilivyo katika nchi nyingi za Africa, vernecular language is almost the same as ukabila, wala usipinge,kujua vernecular language sio ukabila
Hapa tunawacharaza 24/7/365 mpaka mnatokwa povu. Wewe huwezi toboa JamiiForums.com hata siku moja wewe ni mnyonge sana ni vile huwezi toroka JF kwa kuwa hamna kuingine. Tupatane somalispot kwanza wasomali wakunyoroshe kama mbwa msikitini.Huku mpo huru sana kutoa mawazo yenu bila kutukanwa kutokana na kabila lako, mngekuwa huko kwenu, tayari ungekuwa umeshatengwa kutokana na kabila lako.
sawa sawa Mr. Know-it-All.Hili swala unaweza kuwa sahihi katika nchi ambazo zimefuta kabisa ukabila, lakini katika nchi ambazo ukabila ni tatizo kama ilivyo katika nchi nyingi za Africa, vernecular language is almost the same as ukabila, wala usipinge,
Hata huku Tanzania ambako tunasifika kwa kufuta ukabila, lakini ukikutana na mtu ofisini anazungumza lugha ya kabila lako, automatically unajisikia kuwa karibu na yeye zaidi kuliko watu wengine, unajisikia kumpa umuhimu zaidi kuliko the rest,
Ni msomi, umesahau anafanya Thesis ya hunger crisis in Kenya.sawa sawa Mr. Know-it-All.
sijui hizi tafiti zako ulizifanyia lini
Hapa tunawacharaza 24/7/365 mpaka mnatokwa povu. Wewe huwezi toboa JamiiForums.com hata siku moja wewe ni mnyonge sana ni vile huwezi toroka JF kwa kuwa hamna kuingine. Tupatane somalispot kwanza wasomali wakunyoroshe kama mbwa msikitini.
Mtaongea yote mwaka huu na bado kudadekiiiWashamba mliojawa na wivu, hivi lini Hii nchi yetu tukufu ya Tanzania itaongoza ukanda huu wa Africa ya mashariki na kati? Kila Saa tupo number 2 ilhali KENYA imejaza ukabila,njaa na ugaidi.
Na je mbona hawa manyang'au kila kitu kwao rahisi kujenga? Si JKIA, Thika superhighway, SGR kilomita mia Tano wakati yetu hijulikani wapi na wapi, LAPSSET washaanza sisi hata ile ya Dar bado ndogo sana, Nchi yetu yenye rotuba na raslimali za kila aina ilhali Kenya ni jangwa la kutupwa na bado wanatubabaisha hata kwa JF. Sisi watanzania tuna shida mingi sana na jinsi kuzitatua ni sisi wenyewe wala si kuwashobokea waKenya....Hapa kazi tu slogan naona ni ya kipuzi na yakuwafumba watanzania macho. Tutafika tu wakuu.
It's real very shortKicc led![]()
Haha my friend there is no tower in Africa ull compare to KiccIt's real very short
Short scrappersKCB + Britam what a combination![]()
Hebu nijuze jinsi ya kujiunga JamiiForums.com niende nikawavurugeHapa tunawacharaza 24/7/365 mpaka mnatokwa povu. Wewe huwezi toboa JamiiForums.com hata siku moja wewe ni mnyonge sana ni vile huwezi toroka JF kwa kuwa hamna kuingine. Tupatane somalispot kwanza wasomali wakunyoroshe kama mbwa msikitini.
I would compare with ponte city apartment in Jo'burgHaha my friend there is no tower in Africa ull compare to Kicc