Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yule mwamba wa Kunya atafuatiliwa mawasiliano yake yote na mpaka atatuambia ametumwa na nani, na atatuambia agenda yake alifata Nini Tanzania. Lakini pia itakuwa funzo kwa wakunya wengine wote wasio na adabu.
Though Natamani yule dada wa Uganda aachiwe tu aende kwao.
 
Ipo siku....
1747908960600.png
 
Hayo ni mawazo yako. Baki hivyo hivyo. unawazidi watu wote wa security Tanzania uelewa. Yaani mpaka watu kwenye bunge la ulaya wanapiga kelele ili kuweka shinikizo, bado huelewi.

Sijui kama mambo mazito utayajua.
Lisu hana power. But nyuma ya pazia kuna guvu yenye lengo la kuiangusha TZ kutoka Ubelgiji.
SIoni kama ni busara kujadili mambo haya kwenye huu uzi.

Watu wa nje kupiga kelele wala siyo jambo geni.

Tanzania ilikuwa mpaka inagawa PASSPORT za kusafiria kwa wanaharakati wa nje, wanaopingana na nchi zao.

Nenda Mazimbu hapo Morogoro, ukaone waanaharakati wa nje walipokuwa wanapewa mafunzo ya kuoigana na nchi zao.

Leo wafanzania mnaandamana kuhusu Israel anavyoua watoto palestine, kwani hizo nchi zinawahusu?

Kuna mambo ya ahusu UTU tu na ubinadamu, na huwa hayana mipaka.

Na wauaji wengi nchi hii hawafanyi hiyo kazi bure, wanalipwa.

Mojawapo ya watu wanaotoa pesa ni hao umoja wa ulaya.

TZ ilisusa kufanya biashara na alikuwa haitambui serikali ya Makaburu wa Afrika Kusini.

TZ tulifukuza balozi wa Israel.

Balozi wa Morocco.

Sasa kama wao Ulaya wanaona wanatoa pesa kwa serikali zisizo na utu, kwanini wasijadili?

Wanaweza kujadili, waone kama watasitisha au watavunja mahusiano kwasababu hawataki pesa zao zitumike muwaga damu za watu.
 
Hayo ni mawazo yako. Baki hivyo hivyo. unawazidi watu wote wa security Tanzania uelewa. Yaani mpaka watu kwenye bunge la ulaya wanapiga kelele ili kuweka shinikizo, bado huelewi.

Sijui kama mambo mazito utayajua.
Lisu hana power. But nyuma ya pazia kuna guvu yenye lengo la kuiangusha TZ kutoka Ubelgiji.
Na kama ni mambo ya kitapeli nchi hii inatapeliwa kila siku.

Mtu hana sababu za kumtumia Lissu kupata anachotaka.

Akileta uchawa anapelekwa mpaka chumbani.

View: https://youtu.be/1h9Ap2lkLqM?si=SZYPYNBwNkcBVtc3
 
Hayo ni mawazo yako. Baki hivyo hivyo. unawazidi watu wote wa security Tanzania uelewa. Yaani mpaka watu kwenye bunge la ulaya wanapiga kelele ili kuweka shinikizo, bado huelewi.

Sijui kama mambo mazito utayajua.
Lisu hana power. But nyuma ya pazia kuna guvu yenye lengo la kuiangusha TZ kutoka Ubelgiji.
Kwamba wahuni wamtumie Lissu,

Kwanini wapite njia ngumu hiyo, wakati wakiwa machawa ni dakika mbili tu wanapelekwa chumbani.

View: https://x.com/diversity2028/status/1925226200533807313?t=H6TU49GtUFt3F13Ysu1EKQ&s=19
 
Hayo ni mawazo yako. Baki hivyo hivyo. unawazidi watu wote wa security Tanzania uelewa. Yaani mpaka watu kwenye bunge la ulaya wanapiga kelele ili kuweka shinikizo, bado huelewi.

Sijui kama mambo mazito utayajua.
Lisu hana power. But nyuma ya pazia kuna guvu yenye lengo la kuiangusha TZ kutoka Ubelgiji.
Wakati wa Magufuli alikuja Mkenya akajifanya mnunuzi wa Korosho, akawatapeli serikali

Jana kituo cha Televisheni cha NTV kunya walichapisha habari kuhusu mukuru affordable kuwa nyumba hawajapewa wahusik wakaambiwa wafute.

Leo tena wakachapisha habari kuhusu gharama kubwa za gesi ya kupikia naona pia wameambiwa wafute.
Uko wapi uhuru wa vyombo vya habari! 😂😂😂
 
Hayo ni mawazo yako. Baki hivyo hivyo. unawazidi watu wote wa security Tanzania uelewa. Yaani mpaka watu kwenye bunge la ulaya wanapiga kelele ili kuweka shinikizo, bado huelewi.

Sijui kama mambo mazito utayajua.
Lisu hana power. But nyuma ya pazia kuna guvu yenye lengo la kuiangusha TZ kutoka Ubelgiji.
Kwanini watumie njia ngumu hiyo, wakati njia rahisi zimejaa tele.

Lissu ni vita za madaraka tu. Hakuna kitu kingine

20250522_134640.jpg
 
Back
Top Bottom