muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Hajarudishwa, mkewe analia uko kunyarenda, kijamaa hakijulikani kilipo. 🤣🤣👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DJ6g9QWts_5/?igsh=MXUxM2VmNjBuNXZldw==. Hii ikawe fundisho kwa wajinga wenzao.
Huu ndo umafia sasa!! Acha tuwaoneshe!!! Angebaki zake hapo Naipori haya yote yasinge mkuta. Anavuna alichopanda!!
Mimi nawashauri tu wanaharakati , haswa wa Kenya, waje tu huku kumpigania na wantoe, kwa udi na uvumba!! 😂😂