Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ok, kama ikifanikiwa watastahili nobel prize kwa kweli kwa maana nafikiri watu wengi wanaishi slums kwa sababu hawawezi afford decent housing, sasa hao watakao hamia kwenye hizo appartments kutokea kibera nani atalipia water, umeme, kodi ya nyumba, maintanance fee ya apartments? kwani kwangu mimi hizo apartments zingewafaa middle and upper classes wenye kazi nzuri lkn wengi wakazi wa kibera na slums nyingine ni day weka au kibarua siku akiumwa hakuna kazi wanaweza afford hizo nyumba?
Unafikiria ni mafukara hohe hahe on average? poleni, mtapata nafuu na nyinyi pia siku moja
 
Mtanyooka, hiyo Kibera inafanana hivi 2025;

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=RvbJfhin-0-G5Z5z

Na bado Kibera inajengwa usiku na mchana; mtakosa ya kupost kuhusu Kenya, kwenu hamna mengi ya kuonyesha..,
Unajua hii phase one pekee itaondoa kiasi kigani ya nyumba za kibera? It's vertical buildings and one block has many houses!.., kama nyumba moja moja zingekua kwa ground ni upana upi zingekua zime cover?.., think! 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3340129
View attachment 3340122
View attachment 3340123
View attachment 3340124
View attachment 3340121
View attachment 3340125
View attachment 3340128
View attachment 3340126

Shirikisha ubongo kilaza 🤣

New pipeline loading
Screenshot_20250520-191909.png
 
Unafikiria ni mafukara hohe hahe on average? poleni, mtapata nafuu na nyinyi pia siku moja

lkn siyo mara ya kwanza wanawajengea watu wa slums au? nilishafika nairobi na nilipelekwa sehemu ambayo walijenga apartments ( nimesahau jina la eneo) kama hizo kwa ajili ya slummers lkn waliishia kuzikodisha kwa middle and upper classes na wao kurudi slums, ndiyo maana nikakuuliza this time itakuwa tofauti?
 
Tunataka hii FATWA whatever the hell it is, ailete haraka anangoja nini🤣🤣 kwani iko nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Screenshot_20250520-210427.jpg
 
Back
Top Bottom