Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa nyie nyang'au mbona mnakwenda kutembeza bakuli China, kwani hamjui kuwa CCP inatawala tangu 1949?😁
Kilaza kwani hujui system ya Chinese is over 3000 years.., party sio issue, culture yao iko intertwined in their economic conduct.., sio kama nyie, CCM is a foreign thing, a copy,mtu kaileta Tanzania kwa vilaza, hamna mental capacity to manage it, reason imewakataa, akili zenu zilizo dua haziingi!., ideology ya CCM is merely on paper, tamaduni zenu, dini, uchawi/urogi na uvivu ndio inaongoza nchi., so ujinga ni percentage kubwa ya mwelekeo wenu..,
 


Tunawanyosha wote kimya kimya
1747825113945.png
 
Acha pumba we mungiki, kesi ya Lissu ina interests zipi na Kunyaland mpaka Kunyaland ikatae wakundustan wasishiriki? Au walikua wanakuja kwenye issue ipi tofauti na kesi ya Lissu?
Mjinga ni mjinga walai.., mababu zako walikua vipi?..., kuelimisha mtanzania ni vigumu sana! kha!!!, hizi akili!!
 
Kilaza kwani hujui system ya Chinese is over 3000 years.., party sio issue, culture yao iko intertwined in their economic conduct.., sio kama nyie, CCM is a foreign thing, a copy,mtu kaileta Tanzania kwa vilaza, hamna mental capacity to manage it, reason imewakataa, akili zenu zilizo dua haziingi!., ideology ya CCM is merely on paper, tamaduni zenu, dini, uchawi/urogi na uvivu ndio inaongoza nchi., so ujinga ni percentage kubwa ya mwelekeo wenu..,
CPC ilianza mwaka gani Kundudweller

1747825580147.png
 
Kilaza kwani hujui system ya Chinese is over 3000 years.., party sio issue, culture yao iko intertwined in their economic conduct.., sio kama nyie, CCM is a foreign thing, a copy,mtu kaileta Tanzania kwa vilaza, hamna mental capacity to manage it, reason imewakataa, akili zenu zilizo dua haziingi!., ideology ya CCM is merely on paper, tamaduni zenu, dini, uchawi/urogi na uvivu ndio inaongoza nchi., so ujinga ni percentage kubwa ya mwelekeo wenu..,
Ha ha ha, mimi naongelea CCP wewe unaanza oh system ya Chinese. Kwa hiyo system ya nyie nyang'au ni ya miaka mingapi? Punguza kujifanya mjuaji kumbe hujui lolote😁
 
Back
Top Bottom