chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,676
- 45,907
Yaani wao kumpiga Rais na kiatu, kuvamia bunge, kupiga magari mawe na kuchoma mali, kutukana viongozi mitandaoni ndio political advancement yao 😂😂😂 ila bado ufisadi unaendelea, hawana ajira, uchumi upo mortuary, njaa kila mahali, nchi inaendeshwa kwa madeni na misaada yote hayo kwa fresh ila angalau tulimpiga Ruto na kiatu usoni ko tumemuweza we're good, we're unbeatable, sisi ni vichwa ngumu 😂😂😂😂Kenya ni sawa na vichaa,uhuru kwao eti ni kutukana hovyo watakavyo kwa mtu yeyote.
Uhuru ni kusimama kwa hoja na kupiga kelele kwa hoja sio matusi.
Hakuna kigezo chema kutoka kwao ni vichaa tu hawa.