Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Image
 
Kenyans will kill me one day😂😂😂
 
Those activists are anti-government people.
Hao waliokamatwa wote wanampinga rais. In fact CS wa Foreign affairs amesupport Samia kwa kuwakamata. Hao ni watu ambao wakiondolewa halitomsumbua Rais. Ni kama huyo Tundu Lissu akamatwa nchi ya ugenini - unadhani Samia atakasirishwa na hilo? Usiwe mjinga.
Kuhusu activist haijalishi kama anti-government ama laah.
Hata Malala alikua akipinga serikali ila kilichofanya thamani yake kuwa kubwa ni kuungwa mkono na watu.
Embu kamsome huyo Binti huwenda utajua nini namaanisha.
Ila ona sasa watu wa Kenya mwaonekana hamuna nguvu ya ushawishi zaidi ya matusi tu.
Mngelikua mna nguvu ya ushawishi kama watu wa Afghanistan na Pakistan walivyompazia sauti bint Yousaf Zai hao wasinge hata guswa.
 
Lakini unaunga mkono wao kuingilia mambo yetu.?

Anyways, binafsi ningetamani akae rumande walau kwa miezi minne flani hivi. 😆 ale maharage mabovu buana ili akitoka akawadithie wenzie..
Apelekwe Gereza la Rukwa akalime mashamba ya mahindi hiyo miezi minne. Na nasikia anafunguliwa kesi ya kupanga njama ya kuangusha Serikali ya Tanzania. Hivi kesi hii adhabu yake ni nini?
 
Back
Top Bottom