Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Mkuu kwenye hili tutapingana wenyewe kwa wenyewe, Lisu ni traitor na hastahili maisha hata siku mbili juu ya huu uso wa dunia, hivi inahitaji elimu ya darasa la ngapi kujua kwamba lisu ni msaliti wa hili taifa.? JPM aliwahi kusema hadharani maneno haya. 👇🏾Omba yasikukute , maisha Huwa ni mzunguko , Leo unaweza kuona Haina shida ila kesho ukajikuta ni mkimbizi .
Hata hawa unaowatetea Leo nao ni mapandikizi ya hao mabepari unaowaponda na ndio maana hawaheshimiki ona wenzako huko walioamua kutetea rasilimali na raia wao wanavyoheshimika duniani
Sipingani na wewe ila tungepata hints za wapi alipotuletea usnitch badala ya maneno.Mkuu kwenye hili tutapingana wenyewe kwa wenyewe, Lisu ni traitor na hastahili maisha hata siku mbili juu ya huu uso wa dunia, hivi inahitaji elimu ya darasa la ngapi kujua kwamba lisu ni msaliti wa hili taifa.? JPM aliwahi kusema hadharani maneno haya. 👇🏾
View: https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=BGrDG7s803FNUZkn. Huyo mpumbavu ni wakufa tu. Naona wanacheka cheka nae tu.
Watanzania na akili zao mgandoHuyu Godbless Lema ni mpotoshaji sana huyu mbwa, ningekua na mamlaka mimi, huyu ningemfunga au kumpoteza kabisa. Traitors hawastahili maisha.
Alikua na ushamba wa madaraka, saivi kaona their true calor sio kwa wakundustan tu hata mataifa ya west, soma vizuri hii message yake kwa Putin between the lines utaona kachoka na west.Alimuona JPM kama katili kumbe ndiye alikuwa sawa kudili nao kundurenda lakini sasa ameanza kuwajua vizuri akicheka nao watamuona fala
Punguza hasira wewe nyang'au.😂Nenda ukaoge wewe chokoraa wa kiatu kimoja.
Kwahiyo huu ni uchonganishi? Au sio kweli makaa ya mawe yanatoka ? Unaweza kutupa serikali imeingiza kiasi gani kupitia makaa ya maweMkuu kwenye hili tutapingana wenyewe kwa wenyewe, Lisu ni traitor na hastahili maisha hata siku mbili juu ya huu uso wa dunia, hivi inahitaji elimu ya darasa la ngapi kujua kwamba lisu ni msaliti wa hili taifa.? JPM aliwahi kusema hadharani maneno haya. 👇🏾
View: https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=BGrDG7s803FNUZkn. Huyo mpumbavu ni wakufa tu. Naona wanacheka cheka nae tu.
Sasa weww utamdharau nani.? 🤣🤣🤣 ushamaliza kulipa deni la TV uliyokopa.?
Hebu mskilize huyu mwehu 👇🏾Kwahiyo huu ni uchonganishi? Au sio kweli makaa ya mawe yanatoka ? Unaweza kutupa serikali imeingiza kiasi gani kupitia makaa ya mawe
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=rGQMr_7dQS-7wbZJ
Wakati JPM anapambana kubadilisha sheria za madini pamoja na kuzuia makinikia miaka ile nakumbuka huyo Lissu akaanza kutishia nchi kuwa tutashitakiwa MIGA kisa tu sheria zetu mpya za madini.Mkuu kwenye hili tutapingana wenyewe kwa wenyewe, Lisu ni traitor na hastahili maisha hata siku mbili juu ya huu uso wa dunia, hivi inahitaji elimu ya darasa la ngapi kujua kwamba lisu ni msaliti wa hili taifa.? JPM aliwahi kusema hadharani maneno haya. 👇🏾
View: https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=BGrDG7s803FNUZkn. Huyo mpumbavu ni wakufa tu. Naona wanacheka cheka nae tu.
We are eradicating them everyday. On the other hand, slums zenu aka uswazi zipo zimetapakaa kila mahali and there's no measures being taken to eradicate them. Alafu ulivyo mpumbavu unaona mko na unafuu!Unatamani uamke ukute ma slums hayapo lkn ndiyo haiwezekani, nyie wakenya wa kizazi hiki cha kipumbavu mtakufa wote mkiacha ma slums yame triple.
Only a stupid watchman like you would believe that 2.5 million people can actually fit an area measuring just 2.5 square kilometer in a place with no highrises. That's a population density of a million people per kilometer. Kuwa mtanganyika ni garama!!Kwamba hivyo vijumba viwili vitatu ndiyo vi accomodate more than 2.5m slum dwellers in Kibera alone?
Chombo kinachoweza akiamua kwamba huu ni uhaini au sio uhaini ni mahakama tu na bahati nzuri mahakama hiyo ipo Tanzania, Ina mahakimu watanzania, mawakili wa kitanzania walinzi wa kitanzania.Hebu mskilize huyu mwehu 👇🏾
View: https://youtube.com/shorts/AyV3p-QPw-8?si=OCWOtVhVj-wOJRaF. Halafu aachwe tu.? Sindio.? Kwasababu ni siasa.?
JPM alieleza hadharani habari hizi.. wakati ule jamaa alijaribu kumpinga JPM karibu katika kila alichofanya, yeye ni mmoja kati ya Raia wapumbavu waliojaribu kulidhohofisha shirika letu la ndege kwa kupinga manunuzi ya ndege zile Bombadier Q400, alifanya kila jitihada kudhohofisha marekebisho ya sheria za madini Tz, sasa je huyo mtu analitakia mema taifa..? Sasahivi tunajivunia maendeleo ya nchi yetu, hispitali, shule, madini, miundombinu ya barabara, reli na madaraja, shirika letu la ndege ni kuubwa sasahivi.. JPM asingekua ngangari kijamaa kingemyumbisha. lazima tutangulize Tanzania kwanza kaka, mimi simuungi mkono mama, lakini likija suala la Tanzania yangu nitamuunga mkono bila kupepesa.Wakati JPM anapambana kubadilisha sheria za madini pamoja na kuzuia makinikia miaka ile nakumbuka huyo Lissu akaanza kutishia nchi kuwa tutashitakiwa MIGA kisa tu sheria zetu mpya za madini.
Hawa watoto wanaoshabikia siasa juu juu changamoto sana.
Yaani nchi yako inapambana kurekebisha sheria za madini ili kunufaisha nchi wewe unakuja kupinga na kukatisha tamaa.
Sasa hivi sheria mpya za madini zinanufaisha nchi.
Tutanyolewa bila maji - Tundu Lissu | East Africa Television
Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameibuka na kuishauri serikali jambo la kufanya kutokana na matokeo ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliofanywa na kamati ilyoundwa na Rais John Magufuli.www.eatv.tv
Slipway ni pa wananguaji viuno. Hakuna mall pale. Ona walivyovaa kanga za sisiemu viunoni wakisubiri kunengua viuno ndani ya mall!! 🤣🤣Village market ni first world 💯… even the environment and the vibe .
Sasa unachotetea nini je ni kweli hatukushindwa kesi na kama kweli alikuwa mzalendo kweli kwanini haku deal na waliingia hii mikataba.Wakati JPM anapambana kubadilisha sheria za madini pamoja na kuzuia makinikia miaka ile nakumbuka huyo Lissu akaanza kutishia nchi kuwa tutashitakiwa MIGA kisa tu sheria zetu mpya za madini.
Hawa watoto wanaoshabikia siasa juu juu changamoto sana.
Yaani nchi yako inapambana kurekebisha sheria za madini ili kunufaisha nchi wewe unakuja kupinga na kukatisha tamaa.
Sasa hivi sheria mpya za madini zinanufaisha nchi.
Tutanyolewa bila maji - Tundu Lissu | East Africa Television
Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameibuka na kuishauri serikali jambo la kufanya kutokana na matokeo ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliofanywa na kamati ilyoundwa na Rais John Magufuli.www.eatv.tv
Ati wanaita mumama ya wenyewe mama yetu. 🤣 🤣 🤣Kwahiyo huu ni uchonganishi? Au sio kweli makaa ya mawe yanatoka ? Unaweza kutupa serikali imeingiza kiasi gani kupitia makaa ya mawe
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=rGQMr_7dQS-7wbZJ
Kwahiyo kaka unaunga mkono mambo yetu ya nchi yaingiliwe na mataifa mengine.? Unajua suala hilo linamaana gani kitaifa.? Ushawahi kuona wapi wachina wameenda kuingilia mambo ya India.? Hopefully taratibu unazijua. 👇🏾Chombo kinachoweza akiamua kwamba huu ni uhaini au sio uhaini ni mahakama tu na bahati nzuri mahakama hiyo ipo Tanzania, Ina mahakimu watanzania, mawakili wa kitanzania walinzi wa kitanzania.
Inakuwaje mpaka Leo Tena kwa ushahidi huo unaosema ni video mkaogopa kusiwe na uwazi wa baadhi ya watu wa mataifa mengine kuhudhuria.
Kumbuka hapo mawakili na unaowaiita wanasiasa hawatakiwa na uwezo wa kusimama mahakamani zaid ya kusikiliza .
Kuweni professional buana.
Kila siku hapa tunawasema wakenya ila bado hata vitu vidogo ambavyo vingeendelea kutuwekea heshima ya kuwa kisiwa cha amani tunashindwa kuvimantain.
Hivi wakati mnawahifadhi wapigania uhuru wa msumbiji, south Africa ,Uganda na kadhalika haikuwa kuingilia mambo ya nchi nyingine.
Tuache uchawa hii nchi ikiharibika kama mnavyotaka iende tutaumia wote na hata wewe ambaye unatetea uchawa
Wewe una ujanja gani mungiki.? 🤣🤣🤣 nenda katahiriwe huko kwanza.Slipway ni pa wananguaji viuno. Hakuna mall pale. Ona walivyovaa kanga za sisiemu viunoni wakisubiri kunengua viuno ndani ya mall!! 🤣🤣
View attachment 3339707
Ushamba reloaded!
Mimi nikionaga tu upinzani wanalamba sana wazungu matako naona hapo hamna upinzani.JPM alieleza hadharani habari hizi.. wakati ule jamaa alijaribu kumpinga JPM karibu katika kila alichofanya, yeye ni mmoja kati ya Raia wapumbavu waliojaribu kulidhohofisha shirika letu la ndege kwa kupinga manunuzi ya ndege zile Bombadier Q400, alifanya kila jitihada kudhohofisha marekebisho ya sheria za madini Tz, sasa je huyo mtu analitakia mema taifa..? Sasahivi tunajivunia maendeleo ya nchi yetu, hispitali, shule, madini, miundombinu ya barabara, reli na madaraja, shirika letu la ndege ni kuubwa sasahivi.. JPM asingekua ngangari kijamaa kingemyumbisha. lazima tutangulize Tanzania kwanza kaka, mimi simuungi mkono mama, lakini likija suala la Tanzania yangu nitamuunga mkono bila kupepesa.
Umesahau wakundustan pia wanatumika kupinga bomba la mafuta la Afrika mashariki sio watu kabisa wa kushirikiana nao kwenye lolote, pia serikali yao iliunda task force ya kudrain dollars Tanzania, walikua wanakuja Tanzania kununua dollars tu na kupeleka nchini kwao kutokea Arusha, Manyara na KilimanjaroUnajua wakenya kwa sasa hawana cha kupoteza. Ogopa sana kukaa na mtu aliyekata tamaa na maisha. He/she can do anything.
Just imagine wakenya wanenda Uganda kujiandikisha kupiga kura. Wanakuja kwa wingi Tanzania kufanya siasa. Halafu unaona kabisa kuwa ni coordinated agenda.
Baada ya kufanya tukio mitandao ya kijamii wanapiga kelele kila kona. Very stupid na unaona kabisa they are paid to do that. Wanalipia mitandao ya kijamii ili taarifa zitembee.
Ndio mbinu hiyo hiyo waliyoitumia wazungu zambia na kukiangusha chama tawala