Kwa sababu Tanzania ni yako ama? 🤣 🤣 🤣Imebidi nicheke kwanza 🤣🤣 the way he is talking as if Kenya ni peponi 🤣
Halafu hawa budget activists, sijui wanaluwa active kwa ajili ya nani,!!
Thryq
Then you will have the first president who will be banned from setting foot in Tanzania!! Hongereni!!
Magu ni mbeba maono,kuna vitu vingi sana aliviona kwa lisu,mama nae alipoanza kumchekea lisu kakumbana navyo sasa hivi anapita mule muleAlimuona JPM kama katili kumbe ndiye alikuwa sawa kudili nao kundurenda lakini sasa ameanza kuwajua vizuri akicheka nao watamuona fala
Bongoslum barabara kama zote ni za 50kph, intersections na zebra crossing zimejaa all along the way. Huko hakuna freeway kama Thika rd ama expressway. Sasa hata nashangaa huyo mbilikimo anasema tujifunze nini. 🤣 🤣Haha atu zimejaa zebra crossing 😅
I see wanasema ziko quality sana!!!!
I'm indifferent toward this guy, especially when it comes to what he used to say about Magufuli. I wonder what the fuss is about him.FREE LISSU
![]()
We will free you from your mental bondage.Kwa hiyo wewe unaona sawa Clout Chaser wa Ukunyani kuja kutafuta attention huku na kufanya kama vile ni Kenya hata kutaka kufanya maandamano huku?
Akili gani hizo?
Nimecheka sana, wanafosi mechi ichezwe makwapa stadium na CAF inajua huu ni msimu wa mvua 😂😂😂
View: https://x.com/azamtvtz/status/1924423542709354789?t=UAiZ4PwqD_0mi_Ducc2vxw&s=19
Wewe umewahi kutembea nchi gn ukiacha Tanzania na Kenya. Tuoneshe passport yako.Go kart ndio kitu cha kutishia watu bro? 🤣 🤣 🤣
Alafu by exposure simaanishi hizi vitu haziko kwenu, namaanisha umetembea ukaona maisha yalivyo kwa nchi zengine so huongei out of ignorance. Najua unaumia kisa nilikuambia kwa ile post ya KQ unabehave kama mtu hana exposure which is true. Your post was showing a lot of ignorance. Only someone who hasn't travelled, lacks exposure and is stupid can reason like that.
Mzee anza na hii kwanzaWe will free you from your mental bondage.
Dharau za nn sasa hebu msikilize humble former CJ anachosema!Huyo hua tunadeal na yeye daily, hata yeye anajua.
Dharau za nn sasa hebu msikilize humble former CJ anachosema!
View: https://youtu.be/m4nuMV-UjAA?si=B7gh6ssHGFD7ekHG
Upinzani sawa lakini sio uanaharakati😁Kwahili nawaunga mkono bila upinzani watawala watafanya madudu mengi zaidi ya haya
Mkuu tuwe serious kwenye hili nadhani serikali imekosea, huwez endelea popote pale kwa kukandamiza haki za watu. Hapa siku zote tunalalamika kuwa Kuna ufisadi ila ikitokea mtu kauzungumzia ufisadi ni mhaini , kwahiyo lisu kuongelea kuhusu makaa ya mawe ni uhaini.Huyu Godbless Lema ni mpotoshaji sana huyu mbwa, ningekua na mamlaka mimi, huyu ningemfunga au kumpoteza kabisa. Traitors hawastahili maisha.
Upinzani wa kuchaguliwa mambo mkuu,Upinzani sawa lakini sio uanaharakati😁
Peleka hasira nyumbani kwenu kitukuu cha CCM!Huyu Godbless Lema ni mpotoshaji sana huyu mbwa, ningekua na mamlaka mimi, huyu ningemfunga au kumpoteza kabisa. Traitors hawastahili maisha.
Hapa naungana nawewe , serikali imeteleza , Tanzania ndo imechafuka mtu hawez elewa kwa leoPeleka hasira nyumbani kwenu kitukuu cha CCM!