Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekosa jibu ukaona ujifariji na Kibera as usual. Affordable houses are built in all the 47 counties a cross Kenya, with some counties having multiple such projects.

Hata hiyo Kibera unajifariji nayo hapa will soon be a thing of the past
View attachment 3337890View attachment 3337891View attachment 3337892View attachment 3337893
wakati Dar the entire cityscape ni uswazi hovels with rotten iron sheets 🤣🤣
Kwamba hivyo vijumba viwili vitatu ndiyo vi accomodate more than 2.5m slum dwellers in Kibera alone?
 
Prove it, that its Maisha supermarket
Picha nimetoa kwenye page ya maisha supermarket, nenda uhakikishe. Zesta tomato sauce, proudly KENYAN
1000009040.jpg
 
Akili kubwa, anatoka Mtz anaingia Mtz, hivi vinchi vingine vya EA havina mfumo mzr wa elimu 👇👇

 
Hahaha huelewi kumbe logistics zilivyo , bandari ya dar inapokea meli kubwa kuliko hata hiyo uliyoleta .
Sanasana hapo hiyo meli imeamua kuuza mzigo kwa meli nyingine ije isubirie foleni maana congestion ya dar kwa sasa ni meli 48 ,
Dar is inefficient in handling big ships ndio maana wameamua kutofika Dar port. As long as dar remains ineffective Lamu port will reap big..
 
Dar is inefficient in handling big ships ndio maana wameamua kutofika Dar port. As long as dar remains ineffective Lamu port will reap big..
Ingekuwa ni enefficient isingekuwa inapokea meli nyingi bado wateja wangelimbilia lamu ambako Kuna berths nyingi sana lakini lamu kwa mwezi inapokkea meli mbili huku Tanga na mtwara ambako Kuna berths chache zikipokea almost 10 ship each per month🤣🤣🤣
 
Na bado watu wanateta Kasongo Must Go!… hii ingekuwa TZ wangeweka statue ya Mama at the entrance 🤣🤣… I think Ruto is trying to put up so much development by curbing wastage and corruption ( except for his close inner circle) as a way to ensure his economic deeds do the talking for 2027 elections. He’s seriously moving fast. Development is everywhere na bado Gen Z don’t care 🤣🤣
 
Back
Top Bottom