Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Jamboforum iliyeyuka 2009, mbona wewe umekuja 2013, au una id nyingine?Angalia profile kwanza wewe umekuja juzi jamiiforum Kuna watu tumeanza ikiwa ni jambofurum . 🤣🤣🤣🤣
Jamboforum iliyeyuka 2009, mbona wewe umekuja 2013, au una id nyingine?Angalia profile kwanza wewe umekuja juzi jamiiforum Kuna watu tumeanza ikiwa ni jambofurum . 🤣🤣🤣🤣
Haha jiulize sasa na wewe umekosea ilibadilishwa mwaka /5/2008🤣🤣🤣Jamboforum iliyeyuka 2009, mbona wewe umekuja 2013, au una id nyingine?
Sawa, naweza kuwa nimekosea, ni muda mrefu umepita, ila mwenzako ninarisiti kwenye profile yangu, kuwa nilikuwepo wakati wa jamboforums. Tena nakumbuka ilivyokuwa offline kwa muda, iliporudi ndo ikaja hii jamiiforums. Sasa wewe mwenzangu na mimi, proof yako iko wapi?Haha jiulize sasa na wewe umekosea ilibadilishwa mwaka /5/2008🤣🤣🤣
Usipende ku comment ujinga kwa mtu usiye mjua.Duuuh mkuuu nadhani unahitaji sana iingie deep sana kwenye issue za kisiasa na uache kusikiliza propaganda.
Ukisema Kuna hela ya ubelgiji ilitakiwa uwe na evidence letsay cheque au watu wakigawana pesa
Sio Kila uchaguz kama wa mwambukusi una influence ya watu wa nje tuachage kusikiliza propaganda bali uhalisia. Haya ndo yanatufanya tuendelee kubali nyuma , Leo hii kampuni zinazzongoza kulipa Kodi hazifikii zile zenye mitaji mikubwa, yaan Leo hii bakhresa au mo mwenye viwanda zaid ya 30 hayumo kwenye top ten ila nmb yupo🤣🤣🤣🤣
Unatakiwa kuprove kwamba Kuna hela imeingia sio bitiUsipende ku comment ujinga kwa mtu usiye mjua.
Kwani wewe umetokea wapiSawa naweza kuwa nimekosea, ni muda mrefu umepita, ila mwenzako ninarisiti kwenye profile yangu, kuwa nilikuwepo wakati wa jamboforums. Tena nakumbuka ilivyokuwa offline kwa muda, iliporudi ndo ikaja hii jamiiforums. Sasa wewe mwenzangu na mimi, proof yako iko wapi?
Kwahiyo profile ndiyo inakufanya ujue mambo ya nchi?Angalia profile kwanza wewe umekuja juzi jamiiforum Kuna watu tumeanza ikiwa ni jambofurum . 🤣🤣🤣🤣
PatheticKwahiyo profile ndiyo inakufanya ujue mambo ya nchi?
Stupid
Waambie wakenya wenzako waje sasa uone mtiti. Amiri Jeshi Keshatoa amriUnatakiwa kuprove kwamba Kuna hela imeingia sio biti
Nincompoop🤣🤣🤣Waambie wakenya wenzako waje sasa uone mtiti. Amiri Jeshi Keshatoa amri
Leta uso wako sasa uone cha moto
Go to hell. Amani tutailinda hata ikibidi wewe kufa.Pathetic
🤣🤣🤣🤣 Nyinyi waoga tu hamna hoja mnaogopa watu wasio na bundukiGo to hell. Amani tutailinda hata ikibidi wewe kufa.
🤣🤣🤣Unaleta matani kwenye vitu serious.
Stupid
Wewe leta uso wako ndio utajua sisi ni waoga au la.🤣🤣🤣🤣 Nyinyi waoga tu hamna hoja mnaogopa watu wasio na bunduki
Muoga siku zote anakimbilia kutisha hawez Jenga hoja , kwahiyo nyinyi waoga tu. Hiyo 2/6 utaona mtakavyoaibikaWewe leta uso wako ndio utajua sisi ni waoga au la.
Waambie waje. Na wiki hii kuna Mkutano mkuu wa CCM. Kuna matamko yatatoka. Ndio ujue ukubwa CCM. Tunaweza kufunga mpaka wa kenya for 6 months mpaka mje kutupigia magoti.
Mbona swali lako linautata?Kwani wewe umetokea wapi
Endelea kujenga hoja. Amani haijengwi kwa hoja. Inajegwa kwa damuMuoga siku zote anakimbilia kutisha hawez Jenga hoja , kwahiyo nyinyi waoga tu. Hiyo 2/6 utaona mtakavyoaibika
🤣🤣🤣🤣 Uzuri mnatumika tu wanaokula hawazid hata 200🤣🤣🤣🤣Waambie waje. Na wiki hii kuna Mkutano mkuu wa CCM. Kuna matamko yatatoka. Ndio ujue ukubwa CCM. Tunaweza kufunga mpaka wa kenya for 6 months mpaka mje kutupigia magoti.