Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nope. Hamjengi dual from Nsalaga to Tunduma. Dual ni hapo mjini pekee. Prove me wrong.
chrome_screenshot_May 18, 2025 11_02_52 PM GMT+03_00.png


 
Karne wakati in this year tunamalixa 153km dual carriageway (Nairobi - Marua) na tunaanza 220km of another dual carriageway (Nairobi - Nakuru - Mau Summit) meanwhile, 480km of dual carriageway ya Mombasa - Nairobi ipo mipangoni kuanza next year. Sisi ndio wakuambia 100km of dual carriageway ni miujiza? Labda kwenu ila sio kwetu. 😂😂😂
Nairobi - murua hamjapata fund bado ila sisi tayari tuko na pesa ya moro dom tuko kwenye hatua ya manunuzi
chrome_screenshot_May 18, 2025 11_15_25 PM GMT+03_00.png
 
nairobae kunazo 21 km dual carriage ways out of 51 km total roads at Magufuli city. 👇🏾View attachment 3338453.. chukua zile 12.6km za iyumbu changanya na hizi 21km za Magufuli city. Hizo ni 33.6 km dual carriage ways.
You call this city of the future with those brick walls?.. ugly … Go to Tatu city or Konza Technopolis for standard lessons 😄😄
 
Sasa bwana nairobae chukua hizi changanya na 150km of Dodoma outer ring road and dom inner ring road.. hesabu inakuja hapa👇🏾

150km+ 33.6km=183.6 km. Hizi ni kando ya zile carriage ways zinazoenda IKULU na Airport. na zile sections za CBD. 🤣🤣
Haya mombasa itatia pua hapo.? 🤣🤣

Mbona unaogopa kutuonyesha hizo 21km za Magufuli City na hio 150km ring road Kwa map.
 
Zitaje hapa ushatajiwa kuna iyumbu to udom 12 km
Kuna km 21 ndani ya magufuli city na bado vibarabara vidogo hatujaweka mfano njiapanda ya msalato kwenda msalato airport hizo zote zimeishia haya leta za Mombasa tu tusiweke na county nyingine
Hizo nilizotaja ni za wapi?
 
Au hili neno firsymt world limebadilishwa maana siku hizi.? 🤣🤣🤣 this ia inside village market. 👇🏾nini ni special kwa hii .? 🤣🤣🤣View attachment 3338338View attachment 3338339
You wouldn’t understand by collecting photos on the web. You have to visit there in person then you will comprehend all I’m saying….and as a person who lives in first world and also been to village market, I know what I’m saying, you on the other hand don’t..😄
 
Back
Top Bottom