Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hizi kelele pigizana na serikali sio mimi.. na wenyewe wanasema ni njiasita sio nee..lengo ni kuondoa foleni kwenye barabara hiyo barabara.Siwezi ugua juu ya 100km dogo wakati Kenya in the next 4 years tunaongeza at least 700km za dual carriageway za uhakika na hapo sijaongeza project ndogo ndogo za KURA, KeRRA na County. Sasa 100km ndio Nini? Nakukosoa tu uache kudanganya maanake ninavyoelewa project nzima ni 100km ila kipande chenye ni dual carriageway ni 22km pekee. Kama unabisha prove me wrong. Same way Ile Barabara ya Mombasa to Malindi project yote ni 116km but kipande kilicho dual carriageway ni 41km pekee. Labda wewe mwenyewe hata huelewi project ilivyo ndio maana unapiga kelele kiujingaujinga.
View: https://youtu.be/K9YNhuB_rMI?si=w-XTWeFMcvZ8riqV. 🤣🤣
Halafu usinielezee ndoto za kenya mimi. Sisi hatuelezi ndoto sahii. Sisi tunafanya