Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuwawekee pazia mfe njaa!!!!hatunaga husda za kichawi namna hiyo.

Imagine kuuangalia kwa mbali kuleee,ukijua si wako.it sound

Mwasiti- hay mzungu look that is kilimanjaro,the peak of africa
here in kenya we see it cleally.

Mzungu-can we climb it please,that is one of my dream.

Mwasiti-no no no,aaaaaaah yes you know it is far away from here may be if you will try nex yearsir.

Mzungu-does it locate in kenya????

Mwasiti-sir let me tell you the truth,that monster locate in tz one of kenyan region but magufuli rejected free pass from other region as uhuru odered .

Mzungu-please take me there any way.

Mwasiti- .
Weka kwa lugha ya kiswahili nitaelewa, hicho kimombo chako hata mtoto wa chekechea hawezi kielewa.
 
Ni kama watu waje kwangu kumuona bibi ya jirani na wanilipe kwa hilo ilhali wengine waje kwako kumkamua bibi yako na walipe zaidi....Mimi faida yangu ipo sawa sababu hakuna input kubwa naweka lakini napata mapato. Sasa na hawa watalii mnaopata fiada ya zaidi ya mara NNE ya Kenya, vipi bado mko LDC?
Kwani mlima tuliujenga?,hivyo vitu vipo natural hatuhitaji kuvifanyia maintenance yoyote ile.
Hivyo tafuta hoja nyingine kuhalalisha cheap tourism
 
Ni kama watu waje kwangu kumuona bibi ya jirani na wanilipe kwa hilo ilhali wengine waje kwako kumkamua bibi yako na walipe zaidi....Mimi faida yangu ipo sawa sababu hakuna input kubwa naweka lakini napata mapato. Sasa na hawa watalii mnaopata fiada ya zaidi ya mara NNE ya Kenya, vipi bado mko LDC?
eti hamna juhudi kubwa mnaweka,wewe huelewi nini unaandika.
 
Sasa kama unapata pesa mbona hata chakula huna, hiyo pesa unafanyia nini kama bado unaishi katika mabanda ya nguruwe?
Natembelea nayo kwenye SGR afu change nampatia omba omba toka Dar slum pale Nakuru angalau apate mkate wa kila siku kwa ujirani mwema.
 
Natembelea nayo kwenye SGR afu change nampatia omba omba toka Dar slum pale Nakuru angalau apate mkate wa kila siku kwa ujirani mwema.
Kwanza acha kuchafua neno SGR, sema gari moshi, Kenya haiwezikuwa na SGR, taja nchi yenye SGR inayotoa moshi kama hiyo. Kenya ndiyo inayozunguka kuomba misaada duniani, hao ombaomba wamekuja kuomba ndugu zao serikali omba omba.
Vipi deni letu kuanzia 2014 hamtaki kulipa?,
 
Kuna Tofauti kati ya locomotive na SGR. Hebu weka full meaning ya SGR juhakikisha wewe uko sawa.
 
Kabla ya kuweka hizo soksi humu tunataka utuletee majina ya viwanda hivyo. Mimi nijuavyo ukipeleka china chochote kile wanakutengenezea. Na isitoshe kuweka maandishi kwenye sweta ni rahisi mmno vijana mtaani wanafanya hivyo kwa Tsh 1000.
Weka hapa kwa ushahidi.
 
Kuna Tofauti kati ya locomotive na SGR. Hebu weka full meaning ya SGR juhakikisha wewe uko sawa.
Hizo measurements zinazotumika kupata jina la SGR havina maana yoyote kama railway wala locomotives sio za kisasa wala haziko comfortable, siku hizi neno SGR linamaanisha, modern, comfortable, faster and eclectrical.
 
Mshamba.
 
Back
Top Bottom