Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya Nairobi IMO kwenye list ya majiji bora Africa dar es salama bado sana rabda fly over zikiwa tayari zimekamilika
inamaana flyover ndio kipimo cha kujua jiji bora
😀😀😀😀 akili ni nywele na ukiona wenzio wananyolewa tia maji nywele zako
 
Mlima ni wenu na tutazidi kuvuna mapato miaka na mikaka na hakuna likubwa unaweza Fanya about it Labda pazia. Hapo ni shamba la bibi.
munavuna wakati utalii wenu umekufa kila mwaka unashuka takriban 100k tourists😀😀😀
71B9972F-9A34-44F2-BA34-8E7436157ED9.jpeg
 
Mapato gani mnayopata zaidi ya kula kwa macho?, ni kama kumuangalia mke wa mwenzako ukawa unamtamani kwa mbali, Tanzania inapata mara nne zaidi ya Kenya katika utalii. Mapato yanayotokana na mlima Kilimanjaro pekee, ni sawa na mapato yote ya utalii wa Kenya kwa mwaka.
Bitter truth!
 
Angalia wakenya wanavyotuchukia TZ. Hawa jamaa wanachuki kweli kweli juu ya TZ

upload_2017-12-27_10-8-59.png
 
Endeni mfanye ya kwenu! Si Tz mna vijana na sweta pia?

Kabla ya kuweka hizo soksi humu tunataka utuletee majina ya viwanda hivyo. Mimi nijuavyo ukipeleka china chochote kile wanakutengenezea. Na isitoshe kuweka maandishi kwenye sweta ni rahisi mmno vijana mtaani wanafanya hivyo kwa Tsh 1000.
 
Back
Top Bottom