NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,012
- 19,188
Hiyo inatuusu Nini? We don't worship politicians here. It's between your authoritarian government and Martha Karua.
Hiyo inatuusu Nini? We don't worship politicians here. It's between your authoritarian government and Martha Karua.
Yale magugu kandokando ya Busisi bridge yameanza kutolewa 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DJr-6gYKihr/?img_index=2&igsh=MXM3eTJuc2hjeDNlaw==.
And repairs them in Mombasa.
Ila usishangae wanageuza wanasema tumewaiga.Kenya ni kama kuku aliyekatwa kichwa, anapapatika tuu.
Hawawezi anzisha vitu vyao wenyewe, ni kuiga iga tuu.
- Walitoa 'A' levels sekondari ili wawe kama US, wakaharibu elimu yao
- Walitoa mfumo wa regional govenments na kuweka counties kama US, corruption ikaongezeka
- Tulipoziita ndege zetu majina ya Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro n.k na wao wakatuiga.
- Tulipojenga mfumo wa BRT wakatuiga, sasa imewashinda
Shida inakuja wapo kama wale wapiga debe wa stand, utasikia hii ndege inaenda Ngoro Ngoro ukikaa unafika so watu wanaasume ipo Kenya wanaanza itumia KQ mwisho wa siku Air Tanzania inakosa watalii or watalii wengi wanaishia NBO kuja kutupigia kelele ya namba.Kwa akili zao wanafikiri wanatuharibia biashara, kumbe wanatufanyia marketing.
Walikuwa wanawapitisha Sirari kuwaleta Serengeti.Shida inakuja wapo kama wale wapiga debe wa stand, utasikia hii ndege inaenda Ngoro Ngoro ukikaa unafika so watu wanaasume ipo Kenya wanaanza itumia KQ mwisho wa siku Air Tanzania inakosa watalii or watalii wengi wanaishia NBO kuja kutupigia kelele ya namba.
Ndio maana Tz ilipopiga marufuku Tour Van za Kenya kuingia bongo kutalii walilia weee.
Huoni kila wakilimwa ban KQ kutua Dar haipiti siku wanakuja kujichekesha chekesha, maana tukiwazuia uongo wote
Wa Kilimanjaro ipo Kenya, Serengeti iko Kenya, Ngorongoro iko Kenya unakufa.
Imagine mtalii atue na hujui unampelekaje Kilimanjaro?
Iyo nguvu mnngetumia kutangaza mount kenya labda ungejulikana zaidi ya mlima ruwenzoriKenya is beautiful ❤️View attachment 3337938
And Kenya doesn't lose 10,000 houses to fires in a day.
Perhaps we have better fire fighting capabilities 😂😂😂
Ndani ya soko hilo wakae Jaluo au Gikuyu?Wajenge basi, soko hata kama la Kisutu.
I’m sure hata Pizza hajawaiona in real life. Yani mtu analinganisha bei ya small pizza na Extra large Pizza, watanzania ni washamba sana.I had actually made a long post on this hadi nikashare bei za Kenya za pizza zote nikaona heri nisipoteze wakati juu huyo ninayemjibu hananga akili. 🤣 🤣
You should specify that they are not toilets but instead they are using latrines. Toilets Tanzania ni kwa wenye pesa.Yet hapo Dar 80% mnaishi kwa single room vyoo vya nje.
Sure, latrines. Niliuliza jamaa bei ya rent huko, alinitajia bei za single room pekee nikajua huku mambo ni ya single room.You should specify that they are not toilets but instead they are using latrines. Toilets Tanzania ni kwa wenye pesa.
This time round hawakukodi tour bus from South Africa?😂🤣This is next level, cheki hizo model za gari 😃😃View attachment 3337997
That’s already more than 50%, wewe uogopi kwamba Galana itawapotezea soko ya Mahindi Kenya?Haha yaan 200,000 acres zitimize 41 ya demand yenu annual, sasa hivi annual production Iko kwenye 3.2mil tonnes against total demand ya 5mil
Hapo bado mnaongezeka tu
Nairobi ni ya wote.Ndani ya soko hilo wakae Jaluo au Gikuyu?