Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 huyo si tu mpumbavu, huyo ni zaidi ya upumbavu. Ana kilema cha akili au ni mdumavu wa akili. 🤣🤣🤣 naona ume deal nae vile anavyo deserve
Screenshot_20250518_150054_X.jpg
Akili zao karibu wote ziko hivyo
 
Okay, Trucks owned by Kenyans, registered in Tanzania (because registering here is cheap), loaded with goods farmed by Kenyans in Tanzania, transported to Kenya.

Haya Enjoy.

You are very developed like Europe.



View: https://x.com/peteklemenza/status/1824449386144727391?t=PlTelf2Buy_svffYIzi4fA&s=19

Na huu ni mpaka mmoja tu.

Bado Horohoro Tanga - Machungwa
Sirari, Tarime
Rombo , Tarakea
Holili, Rombo.

=====


View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1793653643683508240?t=YBTfX6HhMcvqWUPJq1SYUg&s=19
 
Tena leo story imechange to Pizza inapika nyumbani? Si huko mbeleni Mlisema Pizza ni junk na ni bad for health? How come tena manzi pika nyumbani?

Anyway what I know hizi zote are just excuses of not eating Pizza.
Kichaa wewe Tanzania most of junks foods tunapika nyumbani.
Naweza hata nikakurekodia video Mimi nikipika hiyo pizza unayoila kwa bei kubwa hapo Nairobi.
Kenya washamba wa vyakula ndio maana hata chapati mnaona kama chakula Cha anasa.
Washamba nyie .
 
Back
Top Bottom