Na wanataka wakitembea duniani kote kufanane na Kenya kwa akili zao zilivyo ndogo.
They don't appreciate diversity
NairobiWalker ni good example.
They don't have identity and culture.
Ndo hao wakija dar wanataka waione exactly Nairobi CBD. Kwanza siku hiz kufungua business kubwa posta ni kama unapoteza money tu labda hotel na Airbnb. Mtu anaishi kinondoni, haendi Zanzibar, posta anaenda kufanya nini actually.
Lakin Nairobi karibu kila kitu Kiko CBD. Mabasi kibao destination ni CBD. Niambie Kuna basi gani zinaishia posta, Daladala zenyew ni route tatu tu za tegeta, makumbusho na Gongo la mboto ambaza nazo zitaondolewa BRT 3 and 4 zikiisha. Hizo bajaji za ferry ni siasa tu. Ila hazipaswi kuwa pale. Ni suala la muda tu zitaondolewa
Njoo Nairobi Sasa. Tembelea pale Archives uone foleni la matatu, tazama pale sanamu la tom mboya matatu kila mahali, huko downtown ni usipokuwa makini matatu hii hapa mguuni. Yaani ni typical failed African city in public transport