Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anderson Project in Kisumu rising higher and higher.

1747318878484.jpeg
 
Elimu ilitakiwa iwasaidie kunyanyuka na tulitegemea mngeondokana na njaa na nyumba za tembe kabisa lakini usomi wenu ni WA kuongea na kulaumu na kutafuta visingizo na kujua kutukana🤣🤣🤣.
Mtu aliyeelimika hukwepa migogoro na kutumia njia ya upole kufanikisha mambo yake.
Ni kama Chinese to USA .usa anabwatuka ila wenzie kimya mwisho wa siku 🤣🤣🤣🤣
Kenyan hamjaelimika , mmesoma kwa kukariri ila hiyo elimu hamna tukianzia na humu .
Unaweza soma mpak PhD ila ukawa huhaelemika?
Kaka wasikuumize kichwa.
Tuje mfano mdogo sana,kuhusu balaa njaa Kenya walikua Wana uwezo wa kuanzisha intensive irrigation farming huku wakijikita kuzalisha surplus crops za kutosha na kutengeneza maghala ya serikali kila mkoa ili kuhifadhi chakula kitakachoweza kusaidia hata itapotokea ukame.
Misri ilianzisha kilimo cha JANGWANI achana na nusu jangwa kama Kenya yani ni JANGWANI kabisa Misri walianzisha kilimo na wana maghala toshelezi ilisaidia kupunguza food importation.
Kenya inajinasibu kuwa na uchumi mkubwa mbona haijafanikisha hilo!??
Na hiyo ni akili ndogo sana kaka wala sio kubwa.
Huo usomi wao nini umewasaidia!??

Ishu ya pili ni kuanguka sana kwa majengo,unajiuliza hawa jamaa wahandisi wao huwa wanasoma nini chuoni!?
Mbona haipiti miezi miwili majengo yanaanguka!??

Mkenya sawa na MBWA KOKO ubwekaji mwingi kuuma hawezi.
 
Hawana huo mpango.

Na sasa hivi mashamba wameanza kukata viwanja (plots)
 
Back
Top Bottom