Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna maasai amefukuzwa Laikipia wakaletewa wazungu, lakini tunajua nani wamefukuza maasai Ngorongoro wakaleta waarabu. 🀣🀣
Wale ni wawekezaji. Siyo wamiliki wa ardhi

Ila siyo kila mtu huwa anakubaliana kupisha eneo lake.

Hata Nyerere wakati wa communal villages, alitaka kuhamishia watu maeneo yenye maji, umeme, shule na hospitali lakini walikuwa hawataki.

Hao Wamasai wa Ngorongoro, walipewa pesa, magari ya kubeba mizigo, wakapewa na nyumba pamoja na msbwawa ya ng'ombe zao.

Wengine hawakutaka tu.

Kelele tulikuwa tunapiga kwasababu serikali haitakiwi kulazimisha watu kuhama. Iwape tu masharti ya kuishi Ngorongoro. Waache kujenga nyumba za kudumu.

images (5).jpeg
 

Nigeria hits KQ with sanctions over viral clash with passenger, right breaches​

Hilary Kimuyu
May 12, 2025

Correspondent in Nairobi, Kenya
Nation Media Group
Kenya Airways is facing penalties from Nigerian aviation authorities after the airline was found to have violated consumer protection regulations in at least three separate cases, including the widely publicised incident in February involving passenger Gloria Omisore.

The Nigerian Civil Aviation Authority (NCAA) last week issued a formal sanction letter to Kenya Airways (KQ), citing failures ranging from denial of care to mishandling of refunds and compensation.

Among the cases is that of Omisore, whose heated altercation with a KQ agent at Nairobi’s Jomo Kenyatta International Airport was filmed and circulated on social media. The Lagos-based passenger was en route to Paris via Nairobi, but was denied boarding for not having a Schengen visa β€” a requirement for entry into the European Union.

Kenya Airways said the passenger was instead offered an alternative route to London, which led to the altercation. The situation escalated when Omisore, visibly angry, threw used sanitary pads at the KQ agent. The footage sparked outrage online, drawing wider criticism of the airline’s treatment of passengers and handling of customer service.

In a statement at the time, Kenya Airways defended its staff, saying they had followed standard immigration and transfer procedures.

β€œThe video does not reflect the full context,” the airline said, adding that the matter was referred to security agencies for investigation. KQ also stressed that it upholds mutual respect and expects both staff and passengers to behave responsibly.

β€œWhile we remain committed to delivering exceptional service, we expect all interactions to be based on mutual respect,” the airline stated.

β€œOur employees deserve to work in a safe and dignified environment, and we do not tolerate any abuse from our employees or guests.”

But Nigeria’s aviation regulator said the incident β€” and two other complaints β€” pointed to deeper systemic issues. NCAA director of public affairs and consumer protection Michael Achimugu said the airline breached key passenger rights.

β€œThe sanctions are for consumer protection-related offences, including denial of right to care, failure to fully disclose conditions of carriage, refusal to respond to the Authority’s requests, and failure to process refunds and compensation,” Mr Achimugu wrote on X (formerly Twitter).

The NCAA has ordered Kenya Airways to pay 1,000 Special Drawing Rights (SDRs) β€” about $1,300 β€” to each affected passenger within seven days, and to implement corrective measures.

β€œFailure to comply with the letter will result in stiffer penalties for the airline,” the NCAA said.
At the time of going to press, Kenya Airways had not responded to questions regarding the sanctions.

 
Bandari yenu yote hapo Dar si inaendeshwa na foreigners. Ngorongoro si iliuziwa foreigners, Tazara si imepewa foreigners. Bado unapinga nini. BRT pia wanakujia. 🀣🀣
Endelea kutumia propaganda hapa maana unajua ukitumia uhalisia huwezi kutoboa.
Yaani zote unazoandika ukiambiwa lete evidence hauna.
 
Ni Mwananchi, kuwa na hofu kuna shida??

TZ tunataka investors, siku zote.

Hofu ya watu ni aina ya contracts zinazokuwepo.

Na kuwa na hofu wala siyo dhambi.

Itabidi wewe Jaluo uanze kunilipa kwa kukutoa Tongo tongo, maana ni jingaa kabisa
Hapo alipo hajui hata bandari ya Dar ina gati ngapi na gati zipi zinaendeshwa na TPA, DP na Adani kazi ni kuokota post ambazo hawezi kuzitetea. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Back
Top Bottom