mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
9 things no one ever tells you about climbing Mt. Kilimanjaro
na kwa taarifa yako mount kilimanjaro inaingizia tanzania pesa nyingi sana
![]()
![]()
kwahiyo wakija hapo wanatoa pesa wanaangalia kwa mbaali kisha wanageuza kurudi kwao?wanapowauliza kuhusu kuufikia na kuupanda mnawajibuje???haupandiki au umezungushiwa miiba??
Na bado unaingizia Kenya pesa...shamba la bibi.It doesn't matter. Endeleeni kufanya hiyo cheap tourism
NB:waambieni hao wazungu wakija huku wajiandae mifuko iwe imetuna maana huwa tunanyofoa hadi maini hatutaki ujinga!