Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Did you mention water and sewer system ndani ya hizo nyumba?🤣🤣🤣🤣
Yani wewe mtu hujui hata sewer system inakaaje unatoa wapi nguvu ya kumention mambo sewerage system? Mibongolala wa Dar hutumia pit latrines
View attachment 3333153

And you also said proper roofs? Kwamba these are proper roofs? Hizi hapa?🤣🤣🤣View attachment 3333148View attachment 3333149View attachment 3333150View attachment 3333151View attachment 3333152

Just like most of you here, you have to find solace in Kibera everytime you are cornered. It's just 2.5 square kilometers, way too small to compare with your sprawling uswazi hovels that cover your entire cityscape
So, slum Kenya ni Kibera pekee.
 
Bomas Convention Center outlook. The project will cost $270M.

It consists of Indoor Spoorts Arena
Commercial Center
Heritage zone
Convention zone
Animal Opharnage

Image

Image
 
Tatu City is insane, alafu kuna wachawi wanataka kuilinganisha na Dodoma.

View: https://youtu.be/v66J3AFUpfM?si=KTV2KaIVvlWT9U0T

How can a one company own a CITY with own rules and regulations, and you think its better??

Sasa kazi gani mtapata hapo zaidi ya kazi za mjengo, housemaids na usafi??

Africa needs manufacturing technology and industries, na Kenya inahitaji large scale farming.

Sasa hivi kila shamba la Coffee walilokuwa wanalima settlers, mnakata PLOTS na kujenga estates.

Na mnaona it's just GOOD.
 
Tatu City has more industries than entire Tanzania ukitowa Dar. As of now Tatu City has 95 industries and those industries sio za kimandazi mandazi Kama za uko Tanzania, some of the industries at Tatu are as follows

Air separation plant
Vehicle assembly plant
Alcohol Manufacturing Plant
Coffee Processing Plant
Ceramic manufacturing plant
Table top cooking stove plant
 
Back
Top Bottom