Bechede
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 875
- 2,451
View: https://vm.tiktok.com/ZMSeXbGL8/
Viongozi wetu wangekuwa na mawazo kama haya 👆🏾👆🏾 tungekuwa mbalii sanaa badala ya kuenda china kukopa hela au kutafuta investors
Huyu sasa ndio anastahili kuwa chair wa African Union. Anajua nini nchi inahitaji kupiga hatua za kweli.