concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Duuh huu ujenzi wao utawamalizaGhorofa Za Ruto! 🤭🤭
Duuh huu ujenzi wao utawamalizaGhorofa Za Ruto! 🤭🤭
Nipate wasi wasi na haka kaduka mzee.? 🤣🤣🤣👇🏾Umeanza wasiwasi mapema sana.
![]()
Naona maumivu imeingia vilivyo. Runda Mall was opened a few months ago.Nipate wasi wasi na haka kaduka mzee.? 🤣🤣🤣👇🏾View attachment 3331925View attachment 3331930
No wonder haukupost. 🤣🤣🤣🤣 hizi maduka za hiv Dar hapa ni mingi balaa. Tena kwasasa ndio weka mbali na watoto.Naona maumivu imeingia vilivyo. Runda Mall was opened a few months ago.
![]()
Tumekuzoea Kwa kuropokwa lakini dawa yako hua moja tu, utuambie anchor tenant ni nani? 🤣🤣 Then unaenda mitini.No wonder haukupost. 🤣🤣🤣🤣 hizi maduka za hiv Dar hapa ni mingi balaa. Tena kwasasa ndio weka mbali na watoto.
Heb ngoja twende ground. Hii hapa Africana square hata hatuiti mall. 👇🏾Tumekuzoea Kwa kuropokwa lakini dawa yako hua moja tu, utuambie anchor tenant ni nani? 🤣🤣 Then unaenda mitini.
Kwanza Ethiopia ina watu zaidi milioni 150.Wengine ilitupita hii ya Ethiopia, naomba uelezee kidogo.
umesahau vita na Tigray region!Kwanza Ethiopia ina watu zaidi milioni 150.
Ethiopia alikopa sana kibishi, ajajenga Bwawa kubwa sana la umeme (GERD).
Akajenga reli SGR (light rail) ndani ya Addis Ababa, akaipeleka mpaka Djibouti, kwenye bandari, maana Ethiopia hawana bandari.
Akawa anapika sana Data, na yeye ana thamani ya sarafu yake (Birr) akaiweka juu.
Alikuwa na GDP kubwa kuliko Kenya.
Juzi hapa IMF wamewaambia washushe thamani ya sarafu. Walileta ubishi ila wameshusha.
Heb ngoja twende ground. Hii hapa Africana square hata hatuiti mall. 👇🏾View attachment 3331965this is inside it 👇🏾View attachment 3331966chek it out bro. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DFxkLmponoW/?igsh=MWI2Y3k0dmVnZnFqcA==. Ndugu zenu hawaji ku shop huku kwa bahati mbaya budaa. Kuna investments tumefanya. 🤣🤣🤣 sasa hii ni ndogo tu. Nakungoja ulete kamdomo nikupige kichapo. We unaleta vibanda una claim ati ni malls. 🤣🤣🤣
Heb basi fanya comparison according to what ulituambia ni mall huko kwenu. Runda mall 👇🏾🤣🤣🤣Nini cha maana hapa, ama hio duka inafanana na China square ndio unataka tuone? Kama ni hio, hizo tushazizoea huku Kenya. 🤣 🤣 🤣 Lakini ushamba ni mbaya, nani alikuambia Nairobi hakuna business premises with the name Square instead of a mall? The words can be used interchangeably.
Hata sasa hivi Dar inawezekana wakiamua. Weka sheria kali za kusimamisha ujenzi holela, rekebisha yale maeneo yaliyojengwa hovyo, basi, mambo yatakuwa safi.Huu mji ungekuwa na ufukwe wa bahari duuu sijui wezee walifeli wapi kupima na kuipanga Dar mapema
Yes, ana vita eneo la Tigray.umesahau vita na Tigray region!
Amenities, hio Runda Mall ikona almost everything under one roof. Maduka and brands ziko hapo utazipata kwa any other mall, then compare hii kitu unatupostia hata branding tu ni shida. 🤣 🤣 🤣Heb basi fanya comparison according to what ulituambia ni mall huko kwenu. Runda mall 👇🏾🤣🤣🤣View attachment 3331986hii ni Africana square. 👇🏾View attachment 3331987🤣🤣🤣 ukishindwa unajielezea sanaa. 🤣🤣🤣
Jamaa anajielezea sana huyu 🤣🤣🤣🤣 kubali kushindwa tulia.Amenities, hio Runda Mall ikona almost everything under one roof. Maduka and brands ziko hapo utazipata kwa any other mall, then compare hii kitu unatupostia hata branding tu ni shida. 🤣 🤣 🤣