Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika ile video alipokwenda Burkina Faso, kuna watanzania walianza ku dog whistle kwa wa Burkinabe wakisema muangalieni huyo jamaa, msimuamini sana.

Ile ziara ni kama ilikuwa ni zuga tuu, ili ku establish contacts, baadae wakajidai kwenda sijui Angola, kote huko ni kama danganya toto tuu. Kwa Traore ndo mpango mzima. Na Aziz Ki kijana wa watu wasijemtumia kuharibu nchi yake, kwa sasa wanampa pesa nyingi na kupagaishwa na K ya kibongo, asije jisahau, akajikuta anatumika.
Ndio maana Traore alitoa tano tu za kisela, wakati ile ilikuwa ziara nzito ya kidiplomasia. Something haiko right na yule mzee ni chata na ndio maana anapewa sana zile posts za wale watu. Lazima kuna kitu amefanya ama anawafanyia.
 

Laughing without even knowing what that means just proves your ignorance. This is a good thing for us,
EPRA wanted to increase the Road Maintenance Levy from Sh18 to Sh25 per litre of petrol and diesel but a Kenyan taxi driver sued the government and filed a petition and now he has won
In short we will not be paying more
But at least you are celebrating with us albeit unknowingly/ignorantly 🤣🤣🤣
 
The other day I had same argument with the resident monkey boy . China is shiny in urban areas only. Lots of rural areas still resemble third world .Just like India they are overwhelmed by overpopulation and crowded spaces.
Have you ever been to rural China!! I have lived in rural China bro!! Acheni kujidanganya nyie mbwa!!
China has made huge strides!! You keep lying to yourselves!!
 
Ndio maana Traore alitoa tano tu za kisela, wakati ile ilikuwa ziara nzito ya kidiplomasia. Something haiko right na yule mzee ni chata na ndio maana anapewa sana zile posts za wale watu. Lazima kuna kitu amefanya ama anawafanyia.
Chamoto unaweza kuona hapa baada ya kutoa tano, alitoa heshima ya pekee kwa yule bwana kama mjeda na kama foma, lakini alimpa tano tu! ni ishara pekee kuwa watu wake wanafanya kazi nzuri. Remeber: ana over 100 Russia military and security advicers na some top fighers pia wako ground. hivyo kila mgeni wanamtambua.


View: https://x.com/i/status/1921817205450142034
 
Pia wameambiwa wa-devalue currency!
CC: nairobae

Unaleta habari mbili tofauti from different times then unajaribu kuzishikanisha ili udanganye watu. The link ni wakati the Kenyan currency was very low against the dollar at 150. Unashare articles ambazo hata hujasoma. Enyewe unaweza kua mzee na ukue mjinga at the same time.
 
Taking farming to the next level 🔥🔥👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DJkGEwuObRI/?img_index=1&igsh=NnJ5aDUzcDYxaXc1
tagiedaisy_1747118358490.jpg
tagiedaisy_1747118359139.jpg
 
Back
Top Bottom